Nimepata Taarifa kuwa hata Bugando uko wa kichinichini,ili upate huduma lazima uongee na mlinzi akutafutie Dr.te umpe kitu kidogo, vinginevyo utapoteza mgonjwa wako.
Na serikali ndo inatangaza kuwa huduma zimerejea kama kawamkuu na mie nimepeleka mgonjwa KCMC wiki iliyopita ikiwa ni tarehe yake ya kuonwa nikarudishwa na kuambiwa kuwa hakuna madaktari, wa kuwaona kwani madaktari 80 wamerudishwa wizarani na waliopo wanaona wagonjwa wa emergency tu. sasa sijui serikali ina mpango gani jamani twateseka wananchi
na wakati unavumilia kusubiri mwisho if at all itafika watu wanakufa wanakuwa vilema.....tumejitakia mwenyewe hakuna wakumlilia maana hata ukipaza sauti watasikia na hawachukui hatua yoyote.tuvumilie tu hayo yote yanamwisho
liwe liwalo!ndio jibu la madaktari.LIWALO na LIWE!
Kauli ya PM wetu!
usipovumilia utafanya nini kubadili hali hii chini ya utawala wa ccm?madaktari wakieleza ukweli madai yao wanatafutwa nawenye nchi yao so vumilia na huku sala zako ukiombea watu wabadilike roho za kinyama zisitawale tenana wakati unavumilia kusubiri mwisho if at all itafika watu wanakufa wanakuwa vilema.....
Next will be you mother, your wife, husband
your son/daughter
wakati ukisubiri mwisho
kah!mzee,are u ok upstairs?do you really know whats going on?are the fabrics of your faculties intact?serekali itabeba mateso na machungu wanayopata watanzania,
nitaendelea kuwalaumu madakatari waliogoma milele kwani wao ndo chanzo kikuu cha yote haya
Kila jumapili rais na baraza lake wanatajwa almost na makanisa yote kwenye sala miaka yote.usipovumilia utafanya nini kubadili hali hii chini ya utawala wa ccm?madaktari wakieleza ukweli madai yao wanatafutwa nawenye nchi yao so vumilia na huku sala zako ukiombea watu wabadilike roho za kinyama zisitawale tena
kah!mzee,are u ok upstairs?do you really know whats going on?are the fabrics of your faculties intact?
Mbona picha zinaonesha kuna madakitari wanapita na wahudumu wa afya (nurses/wauguzi) wapo, au hii ni picha ya hospital mpya ya rufaa Lugalo?
hapo ndipo naposhindwa kuwaelewa madaktari hata kidogo kama mmegoma gomeni kwa uwazi na serikali ijue na umma ujue na madaiyenu kuliko kudanganya serikali mnafanya kazi kumbe hamfanyi mnaumiza wagonjwa kisirisiri,Nimepata Taarifa kuwa hata Bugando uko wa kichinichini,ili upate huduma lazima uongee na mlinzi akutafutie Dr.te umpe kitu kidogo, vinginevyo utapoteza mgonjwa wako.
Hiyo sio picha aliyo nayo kikwete.
Kwake na kwa jinsi atakavyojitetea kama kila siku ni kuwa anapotoshwa na wasaidizi wake....
anaangushwa na wasaidizi wake aliowateua "bila kushinikizwa".
Kwake pisi tu