Ogopa ma senior bachelor


Alaa kumbe! nilikua sijaijua hii duh akhsante sana
 
Hahaha, ndio kama hivi mpwa wangu KikulachoChako anaji-brendia zake juice ya embe, huku amepika ndizi nyama, anajisomea majarida ya upishi....
....
mpwa usiniue...
Mtu hata ukipatwa na homa kali wakukupa panadol huna au wakukupikia supu shaaa....fikira tu za upweke homa inazidi maradufu....we all need some companionship at the end wazungu wanakuwa japo mbwa lol akifa humo ndani jibwa laweza lipeleke ujumbe japo kwa jirani!
 

Ni kweli gorgeous! Maisha ya upweke ni magumu mno, we all need companionship. BTW...
 
Kuwa Bachelor ni vizuri sana kuliko kuwa na hizi ndoa za sikuhizi FULL STRESS.

I'm always proud to be a Bachelor.
 
Talking from experience upweke sio kiviile ingawa sometimes unatamani angekuwepo mtu. Ila kuumwa ni serious issue.
 

Ki ukweli kuishi katika hali ya upweke sio hali ya kawaida hasa kwa mwanadamu aliyekamilika.....lakini vile vile hali hii inatokana na hali ya mazingira yanayokuzunguka na mtazamo wako juu ya maisha ya mahusiano.........
Kwa kifupi nina historia mbaya kwenye mahusiano ......iliyojaa machungu na maumivu ya kila aina.....hali hiyo ikanifanya nikae nitafakari kwa kina na nikaona njia pekee ni kuwa nje ya mahusiano kwani songombingo za maisha yangu zilisababishwa hali ya mimi kuwa katika mahusiano.........

Kila muda unakuwa roho juu ya mwenzako maana uaminifu umekuwa ni msamiati mgumu sana kwenye mahusiano......hali inayokufanya uishi maisha ya wasi wasi muda wote.......hali hiyo ya wasi wasii inakuweka karibu na maradhi ya moyo.....maana kila ukipata habari mbaya kumhusu mpenzi wako wewe unakuwa kwenye mashaka.....

Nikaona nijia pekee ya mimi kuwa huru ni kuwa mbali na mahusiano.....kwa mwanzo ilikuwa ngumu kwa kuwa upweke ulinitafuna mpaka nikakonda sana......lakini baada ya upweke kuisha ukanijia ulimwengu wa ajabu wenye raha na starehe......unaishi ukiwa unafikiria na kujishughulisha na mambo yako yenye tija kwako tu........nimeshayazoea maisha hayo mpaka nawaonea huruma waliopo kwenye mahusiano maana najua kuwa wapo kwenye kifungo kikubwa ingawa wenyewe hawapo tayari kukiri.....lakini kupitia nyuzi mbali mbali zinazolalamikia masuala ya mapenzi ndio unapata picha jinsi gani maisha ya mahusiano yalivyojaa misuko suko......
 

Hahaaaa...vitu petty sana...eti chumba changu,sijui kujipikia,etc...ni vitu vidogo vidogo kwenye maisha...utaacha kufikiria majukumu makubwa ya kua kama Bill Gates unawaza leo nikanunue nyama duka gani?Au kuosha jikoni?

Nigga plzzzz....oa ,cheo hicho muachie mkeo...fanya yanayokuhusu kama baba...sio kuoa ni paradiso,no way,unaishi kwa maridhiano,na pia sio lazima uoe,ila kazi za jioni weka mtu,usafi weka mtu...bakia na jukumu moja la kusolve world problems
 

Mkioa nyie inatosha....tutukuwa tunawapa ushauri wa jinsi ya kuishi na wake zenu......
 
Kwa ufupi ni wabinafsi ndio maana hawataki kuoa...
Ukivunja glass au kikombe utatolewa mimacho...

Labda wale ambao wanaishi na ndugu...
Lakini ukute mtu ana pesa na kila kitu afu anaishi mwenyewe kama mchawi..ni mchoyo bhaas...
Bora mara 100 kuitwa mchawi kuliko kupata stress kutoka kwa hawa wanawake wa sikuhizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…