Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
Polen sana weathirikaaa
Najua kuna ndoa nyingi zimeumia na Hawa watuuuu
Niwajuze tu kwelii mali pesa zinaenda kwa wachungaji na manabiii
Lakini wakupiga marufuku n machawa wa Hawa viongoxi
Hawa wakishakujua wanataka kukutembelea nyumban wakifika wanarudi na aviola part two
Washampanga mch..Nabil vya kutosha unasikia mke Kavuta lak 5 za biashara akapewe maji na mafuta
Hawa vimelea n zaidi ya minyoooo
Piga marufukuuu
Kuna best wangu naona pepo anadili nae yeye na mkeqe past Tony
Yaan anaongea vitu vya aibu na ajabu kanisaniiii
Ukifwatiliaaaa n pesa zenu mmepeleka wenyewe via machawa
Sumu ya kwanza n Hao wandaniwenuu nxty piga marufuku watu wa kanisanj kufika nyumban kwakoo mkeo ama mumeoo atauza hadi shimoo la choooo akiendekxa Hawa machawa
Hawa watuu Wana nguvu za ajabuu