Ofisini kwetu wapo kwenye vikao vya mwisho kuamua likizo ya lazima hali si nzuri

Bora ninyi mnapewa likizo yenye malipo.
Kuna wenzenu kampuni flani kubwa tu inafanya uhuni inataka kuwapa watu likizo bila malipo.
Wakabanwa wakasema watawalipa nusu mshahara, leo wanawaaambia wasaini makubaliano ya likizo ya malipo robo mshahara.

Kampuni kwa zaidi ya miaka 20 inatengeneza faida hakuna hasara, na malengo yakizidi hawawapi bonus au incentives wafanyakazi, kuna wakati hawalipi overtime na wanafanyisha watu kazi kweli kweli.

Wafanyakazi wameibeba kampuni na sasa imefika zamu ya kampuni kuwabeba wafanyakazi ndio wanataka kuwatendea unyama huo tena wafanyakazi wenye mikataba ya kudumu sio vibarua.

Naiomba serikali iingilie kati na kutoa muongozo kama walivyofanya UK.
Wachezaji wa timu za mpira wanaolipwa pesa nyingi wameombwa kukatwa mishahara yao na kuwalipa mishahara wale wenye malipo ya kila siku kama vibarua au wafanyakazi wa kawaida wenye mishahara midogo.

Rwanda imetoa muongozo wa kutowalipa watumishi wa hadhi ya juu wenye mishahara mikubwa ili kusaidia kutatua janga hili.

Hapa ningeomba serikali itoe muongozo kwa sekta zote waajiri bora wapunguze mishahara kwa wale wanaolipwa mamilioni mengi na kuwalipa angalau nusu mshahara watu wa chini wanaotaka kuwapa likizo bila malipo.

Utaona kampuni kama hiyo niliyo ilalamikia unaweza kukuta uongozi wa juu wakajilipa mishahara nusu au kamili huku wakitaka kulipa wa chini robo robo. Unakuta hao wa juu wanalipwa mamilioni kibao na sio watu wa uzalishaji kama hao wa chini.
Hawa wa juu wanashinda ofisini kwenyye internet, kunywa chai, maziwa na kahawa kisha wanarudi nyumbani kwa miezi yote miwili.

CC: Waziri wa Kazi/Ajira, Waziri wa Sheria, Waziri wa Fedha, Waziri Mkuu na Mh Raisi Magufuli.
Toeni muongozo wazee wangu.
Kuna kampuni hapa nimeiweka karantine hapa haitak kutulipa mshahara sku ya 6 hii
We subiri kidgo namwaga mboga muda c mrefu ,tena ni kigogo mmoja wa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mwenye nchi ni mbishi yeye anachukulia kijuu juu tu. Angekuwa mstari wa mbele kuwafikiria wafanyakazi ambao wataathirika na kazi zao kwa hili janga

Nina shost wangu wamepewa likizo ya lazima hawalipwi kwa sababu hakuna kinachoingizwa ( wanategemea wageni kutoka nje kipindi hiki hawaji) na ni 5 star hotel.kazi zinakuwa ngumu kwa wanaotegemea material zozote za kutoka nje
 
Zile hotel na kampuni zinazowategemea watalii zipo ktk wakati mgumu....
Viwanda vinavyotegemea malighafi au bidhaa kutoka nchi za nje nazo zipo ktk Hali ngumu ktk uzarishaji...

Pia wafanyabiashara wanaosafirisha bidhaa au malighafi nje ya nchi nao Wana changamoto wakati huu...

Mapato ya serikali yanaweza kushuka, hasara ktk biashara, ukosefu wa ajira na vibarua, baadhi ya bidhaa kupanda Bei, kuongezeka kwa wategemezi...
 
Kasheshe...
 
Tunako enda ni kugumu sana iwapo hali ita endelea hivi, natafakari maisha ya Mfanyakazi wa kawaida kukaa home miezi miwili bila ya Malipo yoyote yale???

Hiyo lockdown ikitaka kuanzaa Serikali itoe taarifa mapema ili watu tulidi vijijini tuka ishi kama wakulima hadi hapo hali itakapo kuwa Sawa.

Una Mshahara Nanga Ina paaa sasa ndio utoke bila bila ??? Hata kwa wale taasisi zao zita kubali kulipa mishahara iHuu ni wakati wa Serikali kuelekeza taasisi zote za Pesa zilizo kuwa zina wadai wafanyakazi,wasi kate Madeni husika hadi hali itakapo kaa Sawa .

Watu wana madeni lakini pilika zingine huku mtaani zilikuwa zina saidia kupata kipato nje ya mahahara.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo mwenye nchi ni mbishi yeye anachukulia kijuu juu tu. Angekuwa mstari wa mbele kuwafikiria wafanyakazi ambao wataathirika na kazi zao kwa hili janga
Nina shost wangu wamepewa likizo ya lazima hawalipwi kwa sababu hakuna kinachoingizwa ( wanategemea wageni kutoka nje kipindi hiki hawaji) na ni 5 star hotel.kazi zinakuwa ngumu kwa wanaotegemea material zozote za kutoka nje
Huu ni mwanzo tu, amini nakwambia Corona itaacha Hali ya uchumi wa dunia na nchi ikiwa mbaya sana. Kampuni na hata serikali inaweza ikashindwa kulipa mishahara.

Tuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu atusaidie maana mbele ni giza,, hakuna nchi ya kumsaidia mwenzake maana kila nchi ina janga. Marekani zaidi ya wafanyakazi milioni tatu wamepoteza ajira zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zile hotel na kampuni zinazowategemea watalii zipo ktk wakati mgumu....
Viwanda vinavyotegemea malighafi au bidhaa kutoka nchi za nje nazo zipo ktk Hali ngumu ktk uzarishaji...

Pia wafanyabiashara wanaosafirisha bidhaa au malighafi nje ya nchi nao Wana changamoto wakati huu...

Mapato ya serikali yanaweza kushuka, hasara ktk biashara, ukosefu wa ajira na vibarua, baadhi ya bidhaa kupanda Bei, kuongezeka kwa wategemezi...
Kuongezeka kwa vibaka, ukahaba, na ujambazi usisahau hayo mkuu. Janga kubwa lililo mbele yetu si vifo vya Corona Bali ni kuharibika kabisa kwa mfumo wa maisha tuliozoea.

Maelfu ya ajira Huwenda yakapotea, hadi sasa sekta ya utalii ineshaumizwa vibaya sana. ikalazimu watu kurudi asili ya mwanadamu ya kulima kwa ajili ya kujikimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunako enda ni kugumu sana iwapo hali ita endelea hivi, natafakari maisha ya Mfanyakazi wa kawaida kukaa home miezi miwili bila ya Malipo yoyote yale??? Hiyo lockdown ikitaka kuanzaa Serikali itoe taarifa mapema ili watu tulidi vijijini tuka ishi kama wakulima hadi hapo hali itakapo kuwa Sawa.una Mshahara Nanga Ina paaa sasa ndio utoke bila bila ??? Hata kwa wale taasisi zao zita kubali kulipa mishahara iHuu ni wakati wa Serikali kuelekeza taasisi zote za Pesa zilizo kuwa zina wadai wafanyakazi,wasi kate Madeni husika hadi hali itakapo kaa Sawa .watu wana madeni lakini pilika zingine huku mtaani zilikuwa zina saidia kupata kipato nje ya mahahara.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo taasisi za fedha nazo zitamlipa nini mfanyakazi wake??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu mtotomtamuu
Uchumi wa Dunia unapitia changamoto kubwa zaidi ya ule wa mdororoo wa uchumi 2008-2009.

Hebu angalia watu tuliojiajiri katika biashara ya office and school material (stationeries). Shule zimefungwa consumers wakubwa ni wanafunzi na walimu wao wote wako home, hakuna mzazi anayemnunulia mtoto vifaa vya shule at this moment. Haya consumer wengine ni huko ofisini zinakofungwa hebu niambie wafanyabiashara hao wako wapi kiuchumi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora ninyi mnapewa likizo yenye malipo.
Kuna wenzenu kampuni flani kubwa tu inafanya uhuni inataka kuwapa watu likizo bila malipo.
Wakabanwa wakasema watawalipa nusu mshahara, leo wanawaaambia wasaini makubaliano ya likizo ya malipo robo mshahara.

Kampuni kwa zaidi ya miaka 20 inatengeneza faida hakuna hasara, na malengo yakizidi hawawapi bonus au incentives wafanyakazi, kuna wakati hawalipi overtime na wanafanyisha watu kazi kweli kweli.

Wafanyakazi wameibeba kampuni na sasa imefika zamu ya kampuni kuwabeba wafanyakazi ndio wanataka kuwatendea unyama huo tena wafanyakazi wenye mikataba ya kudumu sio vibarua.

Naiomba serikali iingilie kati na kutoa muongozo kama walivyofanya UK.
Wachezaji wa timu za mpira wanaolipwa pesa nyingi wameombwa kukatwa mishahara yao na kuwalipa mishahara wale wenye malipo ya kila siku kama vibarua au wafanyakazi wa kawaida wenye mishahara midogo.

Rwanda imetoa muongozo wa kutowalipa watumishi wa hadhi ya juu wenye mishahara mikubwa ili kusaidia kutatua janga hili.

Hapa ningeomba serikali itoe muongozo kwa sekta zote waajiri bora wapunguze mishahara kwa wale wanaolipwa mamilioni mengi na kuwalipa angalau nusu mshahara watu wa chini wanaotaka kuwapa likizo bila malipo.

Utaona kampuni kama hiyo niliyo ilalamikia unaweza kukuta uongozi wa juu wakajilipa mishahara nusu au kamili huku wakitaka kulipa wa chini robo robo. Unakuta hao wa juu wanalipwa mamilioni kibao na sio watu wa uzalishaji kama hao wa chini.
Hawa wa juu wanashinda ofisini kwenyye internet, kunywa chai, maziwa na kahawa kisha wanarudi nyumbani kwa miezi yote miwili.

CC: Waziri wa Kazi/Ajira, Waziri wa Sheria, Waziri wa Fedha, Waziri Mkuu na Mh Raisi Magufuli.
Toeni muongozo wazee wangu.
Walio juu kama ilivyo kwa wabunge, hujipangia na kujilipa vinono, wachini mjue au msijue, wao hawajali. Kwa waziri au rais kuingilia ni unafiki, kwani ndio wale wale tu.

Kutokana na hayo maelezo yako ndio Sasa watu waone umuhimu wa kuwa wawekezaji sio kushikiria kuajiriwa tu.

Ajira ni utumwa

Someone has to decide your living .

Company owners always care their capital and profit not you employees don't blame them

Seek your freedom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom