CORINTHIANS
Member
- Jul 29, 2015
- 42
- 13
Hapa kwa ofc yetu kuna mikunguni inaniboa kweli yaani yenyewe ina leta siasa za maji taka yaani navizia kadi zao tuzifiche ili isiweze kupigia hilo kufuli lao. wadau naomba mnipe mbinu mbadala ingine kama ipo huko