UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,017
Leo maofisini jina lilokuwa likitamkwa kuliko yote na kazi zoa ilikuwa Lowassa mfano nilikuwa kwa ofisi moja ya serikali wakawa wanasema no like lowasa sasa sijui ofisi za walimu leo Lowassa alijadiliwa kwa kiasi gani coz wanavyoichukia CCM, mwenye mrejesho wa ofisi nyingine hapa atupe