Ofisi za oriflame ziko wapi siku hizi?

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,785
Reaction score
51,532
Habari wapendwa.ninaimani mko salama salimini.

Naomba msaaada wa kujua zilipo ofisi/duka la oriflame/sehemu ninapoweza kupata vipodozi vya oriflame ๐Ÿ˜Š

Natanguliza Shukrani

Chakorii ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ
 
Wamefunga ila hawana ofisi Tanzania, Kenya na Uganda kwa sasa, ila kama unaitaji mzigo wa kuuza au bidhaa maalum Kuna connection za kuchukulia UTURUKI, taja kipodozi unachihitaji
 
Wamefunga ila hawana ofisi Tanzania, Kenya na Uganda kwa sasa, ila kama unaitaji mzigo wa kuuza au bidhaa maalum Kuna connection za kuchukulia UTURUKI, taja kipodozi unachihitaji
Ninahitaji mzigo wa kuuza mkuu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ