Ofisi za cargo atcl kugeuzwa "saloon"" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi za cargo atcl kugeuzwa "saloon""

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Mar 17, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,096
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Wakati wafanyakazi wakifikria mishahara ya mwezi huu nk itakuja lni wapo wanaume wenye meno wameendeelea kuimaliza kampun ya ndege ya ATCL kwa kuamua kukodisha sehemu ya kuwekea
  mizigo ya abiria(CARGO)......

  Waandishi wa habari waliofika kuona ile sehemu iliokuwa ikijengwa kwa ajilu ya bureau de change walishangazwa kwa kuonyeshwa si hapo kuna sehemu nyingine imekodishwa iko nyuma ya jengo ambako ujenzi ulikuwa ukiendelea kwa kasi sana isiyo na kifan..walipomtafuta mtunza jengo waliambiwa ametoka na ahapo ndipo wakahoji baadhi ya wafanyakazi ni nani amekodishwa majibu yalikuwa kama ifuatavyo

  1))Ndugu mwandishi unajua ukweli sasa hivi tumeamua kusubiri tu mshahara unaingia lini maana tumeashaawaambia mengi mmeandika mkiwa na kawambwa leo hii tumechoka wacha tusubiri zinaingia lini

  2)huyu akusita kumuungamanisha na Mungu kwa kusema Mungu ndie anaejua..loh

  3)Huyu ndie alietupa hali halisi unajua ndugu tuna mengi sana kama wafanyakazi mengine yamebaki kwenye matairi yagari..kwa nini ..??unaona hiyo apo..hiyo ni saloon na ilianza kutengenezwa weekend kwa weekend .naona sasa hata uwoga awana tena wameamua kuimalizi..walipoulizwa ni nani wamiliki ikasekemakana ni mmoja wa mke wa mh mwamunyange...waandishi bado tunafwatlia ni mwamunyange yupi maana jeshini wako mwamunyange wawili..kama ni kweli hii nchi kweli inaitaji mbinu za MISRI kufikia ukomo wa mabedui..

  Juhudi bado zinaendelea kupata na kuongea na mmiliki wa hiyo sehemu ambae inasemekana anakuja jumamosi kwa jumamosi...
   
Loading...