Ofisi ya Rais Mstaafu Kikwete yasikitishwa na habari zinazoenea, yasema kuwa hotuba ya Kikwete haikumlenga mtu

Binafsi nilielewa kulingana na hii statement ila kama kawaida yao, upinzani badala ya kujenga hoja yakinifu huwa wanaokoteza vioja na kugeuza sera, mnatukwamisha sana.
nafikiri umemwelewa JK upinzani unatoka wapi sas au na JK naye ni mpinzaqni ndani ya ccm
 
Ofisi ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete imeeleza masikitiko yake kuhusu upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuhusu hotuba aliyoitoa Kikwete kwenye Kongamano la Kumbukizi ya Miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere

Imesema kuwa mada ya Kongamano hilo ilikuwa ‘Urithi wa Mwalimu Nyerere katika Uongozi, Maadili, Umoja na Amani katika Ujenzi wa Taifa’ na Rais Mstaafu alieleza kwa namna alivyomfahamu Mwalimu Nyerere kulingana na mada hiyo

Ofisi hiyo imesema Rais Mstaafu Kikwete ameshangazwa na kusikitishwa kwa kujitokeza watu wanaopotosha ukweli kuhusu maneno yake na kuwepo wanaojaribu kumuwekea maneno wakidai eti alikuwa anawasema baadhi ya viongozi waliopo sasa

Aidha, ofisi imeeleza kuwa hakufanya ulinganifu kati ya Mwalimu na Marais walifuata baada yake, waliostaafu na waliopo sasa pia hakutaja jina la mtu yeyote, hivyo kusikia kuwa Rais Mstaafu alisema mtu ni jambo linalosikitisha ni uzandiki, fitna na Uchonganishi

Mwisho, Rais Mstaafu Kikwete amesema alitegemea watu wamkosoe kwa aliyoyasema na si kumsingizia na pia amewataka watu wenye maoni yao wawe wajasiri na kuyasema na sio kujificha katika kivuli cha hotuba yake

View attachment 1229421
baba kikwete ni kweli hukumlenga mtu ila watu waovu wametumia kivuli cha hotuba yako kutoa maoni yao kuhusu bwana yule,kwani wanajihofia usalama wao ikiwa watadhubutu kusimama na kutoa maoni yao hadharani kama wewe ulivyowataka,wanaogopa mno kwa walivyoshuhudia wenzao wakitendewa,watu hawa hupenda kupita kwenye midomo ya wenye nguvu kama wewe,pili baba kikwete usiwalaumu kwa kosa lao na hofu yao,bali ujilaumu wewe kwa kuwafanya wakose uhuru wa kutoa maoni yao,baba warioba alipoleta katiba mpya ambayo ililenga kuwapa uhuru wa kutoa maoni yao bila hofu wewe uliikata na kuitupa.hakika majuto ni mjukuu
 
Aisee JK kweli ana akili nyingi Sana. Yani alifikisha ujumbe kwa JIWE kuwa aache kujimwambafai...akaacha mijadala iendelee kwa masaa 53 Kisha akaja kusema hakumlenga mtu akimaanisha kuwa ANAYEJIMWAMBAFAI kachukia. Hapo moja kwa moja anadhihirisha kuwa alikuwa anamsema Jiwe.

NB: Tukumbuke mzee mwinyi alivyojidai kachukia kwa January kuipost picha waliyopiga pamoja wakiwa wanacheka. Kuna ujumbe Hawa wazee wanatupatia.
 
Jiwe kanyamaza eeh, jinga kweli wewe.
Jiwe anatafuta forum ya kujibu tu, kule Katavi wale waganga na wachawi kwenye ziara hata akijibu hawawezi kuelewa.
subiri nyerere day jumatatu 14-10-2019 uone, lazma atajibu tu, kujimwambafy!
Mwanae mpendwa wapekee Bashite huwa anajibu seuze jiwe?

Haya, ALIPOSEMA KUNA WASTAAFU WANAWASHWA WASHWA alikuwa anamjibu mbowe?

Nyie na tarasili zenu mtaumia sana, ebu mnahangaika na jiwe wakati mlitakiwa kuhangaika n tundu lisu ambae nae kageuza gia angani, alisema hogopi mtu na atakuja akimaliza matibabu tena kwa kinywa chake, mkashibikia, mkasema haogipwi mtu, naukinzi mkasema atalindwa hata na UN, leo katamka anaigopa kuja au apewe ulinzi, mnashabikia kuwa yupo sahihi, eti maisha kwanza, sasa tuwaeleweje, kwamba liku kwashikia akili zenu au? Kamwacha jiwe anajimwambafy sasa hizo nyuso mtaficha wapi, ebu tujadili hili la lisu kwanza maana matumaini yanapotea.
 
JK keshang'ata, sasa anapulizal, ili jiwe atoke huko na mahasira yake ajibu mapigo kisha aonekane kituko

JK anajua siasa!, keshafikisha message sasa anamneutralize yeye na wapambe wake waliokuwa wakijipanga kujibu mapigo!!
Mzee anajua siasa huyu,unaguswa kidogo lazima ujichanganye halafu jamii inakuhukumu,yetu masikio na macho yajayo yanafurahisha.
 
Nyie na tarasili zenu mtaumia sana, ebu mnahangaika na jiwe wakati mlitakiwa kuhangaika n tundu lisu ambae nae kageuza gia angani, alisema hogopi mtu na atakuja akimaliza matibabu tena kwa kinywa chake, mkashibikia, mkasema haogipwi mtu, naukinzi mkasema atalindwa hata na UN, leo katamka anaigopa kuja au apewe ulinzi, mnashabikia kuwa yupo sahihi, eti maisha kwanza, sasa tuwaeleweje, kwamba liku kwashikia akili zenu au? Kamwacha jiwe anajimwambafy sasa hizo nyuso mtaficha wapi, ebu tujadili hili la lisu kwanza maana matumaini yanapotea.
MIMI sina chama, mwanaharakati huru kama musiba, tafadhali, yani kila anayeongea tofauti na mzee wa kuji-mwambafy mnaona ni CHADEMA?
 
Hivi mwenye Dola na Mamlaka ya Kikatiba anaweza ' Kutishwa ' na Mtu ambaye kwa sasa hana ' Nguvu ' yoyote ile? Hivi nyie baadhi yenu Vichwani mwenu kumewekwa nini hadi mnakuwa Wavivu hivi wa Kufikiri?
Hawezi kutishwa lakini roho yake itamsuta!

Vichwa kama vyenu ambavyo vimebaki na ubongo bandia hamuwezi kutambua hilo!
 
Zamani kwenye mtihani tulikuwa tunaletewa kipengele cha hadithi.
Unaisoma halafu unaulizwa maswali kutokana na hiyo hafthi. Ndicho wananchi walichowrza kutoa mitazamo yao kutokana na hotuba waliyohotubiwa na raisi mstaafu.
Si kosa la mwalimu mwanafunzi akitafsiri hadithi tofauti na tafsiri ya mwalimu.
 
“ Ofisi ya Mstaafu Kikwete imetoa masikitiko juu ya upotoshwaji kuhusu hotuba aliyoitoa kwenye Kongamano la Mwl. Nyerere “Hakuzungumzia mwingine zaidi ya Mwl. Nyerere na hakufanya ulinganifu kati ya Mwl. Nyerere na Marais waliofuata, waliostaafu na waliopo ”

Chanzo Taarifa: Millard Ayo na imetolewa dakika 65 hivi zilizopita ( nikimaanisha bado ni ya Moto Moto )

Limewashuka na sijui mtaficha wapi sasa Aibu zenu kwani mlilolitaka halijafanikiwa na Mkwere kawaruka kudadadeki!.
Kawaruka aliokuwa akiwasema.
 
Message sent tayari

Tatizo ni kwamba mtu ukiongelea uadilifu wa mwalimu lazima Jiwe atadhani unamsema yeye, maana mwalimu alijenga nyumba za serikali jiwe akahonga kwa mchepuko,

Sasa ktk mazingira haya ukiusema uadilifu wa mwalimu jiwe lazima ajistukie kwa kudhani kwamba unampiga madongo yeye!
Kwa hiyo Jiwe hajimwambafy? ile hotuba haimhusu?
 
Ofisi ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete imeeleza masikitiko yake kuhusu upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuhusu hotuba aliyoitoa Kikwete kwenye Kongamano la Kumbukizi ya Miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere

Imesema kuwa mada ya Kongamano hilo ilikuwa ‘Urithi wa Mwalimu Nyerere katika Uongozi, Maadili, Umoja na Amani katika Ujenzi wa Taifa’ na Rais Mstaafu alieleza kwa namna alivyomfahamu Mwalimu Nyerere kulingana na mada hiyo

Ofisi hiyo imesema Rais Mstaafu Kikwete ameshangazwa na kusikitishwa kwa kujitokeza watu wanaopotosha ukweli kuhusu maneno yake na kuwepo wanaojaribu kumuwekea maneno wakidai eti alikuwa anawasema baadhi ya viongozi waliopo sasa

Aidha, ofisi imeeleza kuwa hakufanya ulinganifu kati ya Mwalimu na Marais walifuata baada yake, waliostaafu na waliopo sasa pia hakutaja jina la mtu yeyote, hivyo kusikia kuwa Rais Mstaafu alisema mtu ni jambo linalosikitisha ni uzandiki, fitna na Uchonganishi

Mwisho, Rais Mstaafu Kikwete amesema alitegemea watu wamkosoe kwa aliyoyasema na si kumsingizia na pia amewataka watu wenye maoni yao wawe wajasiri na kuyasema na sio kujificha katika kivuli cha hotuba yake

View attachment 1229421
Tumpe pole Mheshimiwa. Siku nyingine awe makini na hotuba zake.
Watanzania wanahasira kwa jinsi walivyocheleweshwa na viongozi "wanyenyekevu"
 
Si kosa la mwalimu mwanafunzi akitafsiri hadithi tofauti na tafsiri ya mwalimu.
Sawa kabisa. Ukipata unawekewa tick, lkn ukimkosesha wakati hadthi inajieleza mwanafunzi atahoji uhalali wa kosa lake. Kwa mfano unaulizwa ' Kwann Mh alitumia neno " kujimwambafy kwa watu wenye mamlaka ya nchi sio kitu kizuri" Utajibuje?
 
Kikwete ana akili sana ! kuna kitu fulani hujakigundua

kweli ana akili sana maana katika kipindi chake yanazungumzwa na haya pia

1570781086591.png

wacha nikanywe bia niachane na mambo ya mkwele
 
Ofisi ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete imeeleza masikitiko yake kuhusu upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuhusu hotuba aliyoitoa Kikwete kwenye Kongamano la Kumbukizi ya Miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere

Imesema kuwa mada ya Kongamano hilo ilikuwa ‘Urithi wa Mwalimu Nyerere katika Uongozi, Maadili, Umoja na Amani katika Ujenzi wa Taifa’ na Rais Mstaafu alieleza kwa namna alivyomfahamu Mwalimu Nyerere kulingana na mada hiyo

Ofisi hiyo imesema Rais Mstaafu Kikwete ameshangazwa na kusikitishwa kwa kujitokeza watu wanaopotosha ukweli kuhusu maneno yake na kuwepo wanaojaribu kumuwekea maneno wakidai eti alikuwa anawasema baadhi ya viongozi waliopo sasa

Aidha, ofisi imeeleza kuwa hakufanya ulinganifu kati ya Mwalimu na Marais walifuata baada yake, waliostaafu na waliopo sasa pia hakutaja jina la mtu yeyote, hivyo kusikia kuwa Rais Mstaafu alisema mtu ni jambo linalosikitisha ni uzandiki, fitna na Uchonganishi

Mwisho, Rais Mstaafu Kikwete amesema alitegemea watu wamkosoe kwa aliyoyasema na si kumsingizia na pia amewataka watu wenye maoni yao wawe wajasiri na kuyasema na sio kujificha katika kivuli cha hotuba yake

View attachment 1229421
Makuadi wa mabeberu,mafisadi na wauza unga wanatumia kila mbinu ili ionekana kwamba Rais Magufuli hakubaliki na Marais wastaafu,wananchi na jumuia ya kimataifa.They will leave no stone unturned mpaka nia yao hiyo ovu ifanikiwe,lakini hawataweza.Mzee wa watu atulie tu asiwe na wasi wasi,ingawa alitupiga sana.Sisi wananchi tunajua kinachoendelea and I believe the establishment also knows what is happening.
 
Hivi ni lazima ukanushe kwa kuwa tu umesoma mitandaoni watu wakiipa maana ile kitu ya kujimwambafy? Si huyuhuyu Kikwete alikuwa anawaambia watu kwamba vitu vingine ni upepo tu wa kupita?

Msiwe mnatoa hotuba basi kama mnaogopa watu kuijadiri na kutafsiri kivyao
 
Back
Top Bottom