Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,434
- 1,985
SWALI zuriUtawekaje picha ya mwenyekiti wa chama kingine kwenye ofisi ya chama shindani cha siasa?

CHADEMaA sini chama cha umma?
Mbaya zaidi leo CCM wanamkutanoKachanganyikiwa kabisa baada ya mpango wa kusitisha mikutano kubuma
CDM ligi nyingine mnazozipenda huwa hazina faida wala maana yeyote!! Hivi mkiamua kuweka hizo picha kimya kimya na maisha yakaendelea mtapungukiwa na nini?? Sometimes mnajikeep busy na vitu vidogo vidogo ambavyo vinawasababishia mtoke kwenye malengo makuu..Ni ofisi ya CHAMA sio ofisi ya umma.
..Ningependa kusikia Msajili anataja na SHERIA inayolazimisha chama cha siasa kuweka picha ya Raisi ktk ofisi zao.
..Msajili ana mambo fulani ya kishamba sana. Hiyo yote ni kujaribu kuwa-provoke Chadema.
Ni kama utani..lakini Kuna funzo hapaUtawekaje picha ya mwenyekiti wa chama kingine kwenye ofisi ya chama shindani cha siasa?
Kumbuka na ubaguzi mkubwa aliokuwa anatenda dhidi ya upinzani nchini.Naamini kuwa karma ipo
Mungu ni mkubwa sana, nikikumbuka matusi ya chadema kwa mzee wetu aliyelala chato...
ndio..ofisi ya chadema sio sawa na ofisi ya serikali.
..chadema kuna wadhamini wa chama.
..Umewahi kusikia kuna wadhamini wa serikali?
Hii nchi ya hovyo sana,yaani kuweka picha ya Raisi ni kitu Cha lazima?kinaleta tija gani?Dar es Salaam.
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeishauri Chadema kuweka picha ya Rais katika ofisi za viongozi wa chama hicho kwa sababu hiyo ni taasisi ya umma.
Ushauri huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 10, 2021 na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza wakati wakifanya ukaguzi wa chama hicho katika utekelezaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Gharama za Uchaguzi.
Amesema ofisi za vyama vya siasa ni ofisi za umma hivyo ni vizuri wakaendeleza utamaduni wa kuwa na picha ya Rais kwenye taasisi za umma.
"Hii ni ofisi ya umma, ni vizuri kukawa na picha ya Rais ukutani, siyo unaweka picha ya katibu mkuu. Huu ni ushauri tumewapa, tutapita Januari kuona kama wamelifanyia kazi," amesema Nyahoza.
Akizungumzia suala hilo, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema - Zanzibar, Salum Mwalimu amesema Msajili amekuta mambo yamekaa vizuri ndiyo maana akagundua hakuna picha ya Rais.
"Tumempokea Msajili, wamepitia taarifa zote walizozihitaji wamekuta mambo yako vizuri, ni masuala madogo madogo ndiyo yanahitaji kufanyiwa kazi. Kama angekuta mambo makubwa, asingekumbuka kuangalia picha ya Rais," amesema Mwalimu.
Ofisi ya Msajili inaendelea na ukaguzi wa vyama vya siasa na leo walikuwa wakikagua Chadema ambapo Nyahoza amesema wamefurahishwa na mfumo mzuri wa uwekaji kumbukumbu za fedha na wana mfumo mzuri wa utawala.
Hata hivyo, amesema wamebaini mapungufu kadhaa ikiwemo uwekaji kumbukumbu kwenye mali za chama na pia wameanza kutumia bajeti ambayo wameiandaa lakini haijaidhinishwa na kamati kuu kama katiba yao inavyotaka.
Dar es Salaam.

HDar es Salaam.

MaCCM yananyimwa usingizi na CHADEMA.Hii ni ofisi ya umma, ni vizuri kukawa na picha ya Rais ukutani, siyo unaweka picha ya katibu mkuu. Huu ni ushauri tumewapa, tutapita Januari kuona kama wamelifanyia kazi," amesema Nyahoza.
We awake sheria gani kuhusu jambo hizo kelele bakinazo mwenyewe au hilo nalo wataka lingiNaona Kila mwanachadema anauliza Sheria Sheria utadhani wao wanafuata Sheria.
Tuna ofisi ya msajili ya ovyo sana.Penye haki inakandamizwa wako kimya.Penye ujinga ujinga wanapayuka. SHITHOLE!Dar es Salaam.