Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar yanuka kinyesi

Hili jiji asilimia kubwa ya wakazi wake wanaupungufu wa akili/busara hivyo usishangae kabisa mana wenyewe wamesha zoea utasikia "MIMI NAISHI DSM(jiji kunuka)
 
Ikulu penyewe kuna harufukali la shombo toka feri.Lakn ukienda oysterbay na masaki kwa Mabalozi ni pasafi sana.
 
Kwa kipindi kirefu sasa mara upitapo ofisi ya mkuu wa mkoa utakereka kwa harufu nzito ya kinyesi. Jamani hadi tutoe malalamiko JF ndipo mfanye usafi? OK fanyeni usafi mnatuchefua sana.
Mi nilijua Ndani ya ofisi yake nikajua atakuwa anawafanyia vitu vibaya....au yeye mwenyewe
 
Back
Top Bottom