Ofisi ya masela

Ofisi ya masela

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
Pande fulani za gairo nmekuja mtembelea jamaa yangu kwenye ofisi yke Kweli msela msela
Hyu mhandisi kiboko
Bia kwa mbali iko Ndani ya chupa ya maji
Mshana Jr

Ova
20190903_162239.jpg
20190903_162505.jpg
 
Leo tukirudi kulala ofisini tu

Ova
 
Msongo wa mawazo huzaa uvivu, uvivu huzaa uchafu, uchafu huzaa maradhi, maradhi huongeza msongo wa mawazo.

Lazima utafute mahali pa kukata huo mzunguko, vinginevyo utashangaa unaishi ukingojea kufa.
 
Back
Top Bottom