KERO Ofisi ya kupokelea mizigo ya mabasi ya Happy Nation jijini Dar es Salaam si salama kwa uhifadhi wa mizigo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,757
Reaction score
448
Ofisi za Happy Nation ya kupokelea mizigo DSM siyo salama kwa mizigo. Mzigo ya wateja umerudikwa nje na kunyeshewa mvua. Ndani ya store ya mizigo,mizigo ya mafuta na isiyokuwa na mafuta imechanganyika. Mizigo ya samaki imechanganywa na isiyokuwa ya samaki.

Ofisi hiyo ya kupokelea mizigo wanafuga PANYA kuna panya wakubwa wengi wanaaribu mizigo ya watu kwa kuitoboa na kuitafuna. Mzigo wa mteja unakuwa na dhamani wanapopokea hela hukifika awana habari na mizigo ya wateja unapupwa hovyohovyo
 
Acha kuharibu biashara za watu.
Na wewe anzisha kampuni ya mabasi uwe mashindano wake kama ni rahisi
 
Office yoyote ikishakosa utararibu kwenye uendeshaji basi ujue ni tatizo hilo

Nlishawai kupata hasara ya 600k kwa kusafirisha mzigo kwa kampuni moja ya ma bus kutoka Dsm kwenda Mbeya

Zilikua taa

Jamaa walivyo washenzi wakachanganya na mizigo mingine kufika mbeya taa 11 zimevunjika
 
Ni bora kuandika thamani halisi ya mzigo
Na pia kuwe na kipengele mzigo ukipotea utalipwa shingwap
Na mzigo ukiaribika pia utalipwa shingap
 
Ofisi za Happy Nation ya kupokelea mizigo DSM siyo salama kwa mizigo. Mzigo ya wateja umerudikwa nje na kunyeshewa mvua. Ndani ya store ya mizigo,mizigo ya mafuta na isiyokuwa na mafuta imechanganyika. Mizigo ya samaki imechanganywa na isiyokuwa ya samaki.

Ofisi hiyo ya kupokelea mizigo wanafuga PANYA kuna panya wakubwa wengi wanaaribu mizigo ya watu kwa kuitoboa na kuitafuna. Mzigo wa mteja unakuwa na dhamani wanapopokea hela hukifika awana habari na mizigo ya wateja unapupwa hovyohovyo
Hii nimeshuhudia Ijumaa last week mpaka nikawaonea huruma wenye mizigo. Na siku hiyo mvua ilinyesha kubwa, wana turubai lakini hazifuniki mizigo yote, na hata iliyofunikwa inalowana maji yakituama. Kuna viroba vya mchele kibao niliona vikinyeshewa. Mamlaka inabidi ziingilie kati, mabasi yanasafirisha na mizigo yawe na godauni kubwa za kuhifadhia mizigo.
 
Hao jamaa siyo wastaarabu kabisa niliwahi kuagiza debe la dagaa kutoka bukoba wakasema mzigo niufate ubungo nikakuta mzigo umerundikwa nje kunguru wameujalia umetobolewa kila mahala nilikosa hata nguvu ya kuchukua yaani utadhan nilisafirisha bure kumbe nimelipia.
 
Ofisi za Happy Nation ya kupokelea mizigo DSM siyo salama kwa mizigo. Mzigo ya wateja umerudikwa nje na kunyeshewa mvua. Ndani ya store ya mizigo,mizigo ya mafuta na isiyokuwa na mafuta imechanganyika. Mizigo ya samaki imechanganywa na isiyokuwa ya samaki.

Ofisi hiyo ya kupokelea mizigo wanafuga PANYA kuna panya wakubwa wengi wanaaribu mizigo ya watu kwa kuitoboa na kuitafuna. Mzigo wa mteja unakuwa na dhamani wanapopokea hela hukifika awana habari na mizigo ya wateja unapupwa hovyohovyo
Pia wahudumu wao ni chenga sana hawana customer care wana majibu ya hovyo sana .talehe 17 nilikata ticketi kwao na bus inapaswa kuondoka saa 6 lakini tuliondoka saa 9 jioni lakn baada ya kulalamila walisema kama hutaki kusubiria basi pesa haturudishi na kama hutaki nenda latra kaseme.alfu wakishapokea pesa hawana time na wewe
 
Ofisi za Happy Nation ya kupokelea mizigo DSM siyo salama kwa mizigo. Mzigo ya wateja umerudikwa nje na kunyeshewa mvua. Ndani ya store ya mizigo,mizigo ya mafuta na isiyokuwa na mafuta imechanganyika. Mizigo ya samaki imechanganywa na isiyokuwa ya samaki.🥺
 
Back
Top Bottom