Ofisi usipoipenda, unafanyaje?

Ofisi usipoipenda, unafanyaje?

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
323
Reaction score
1,128
Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,

Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
 
We kinachokushinda na wewe kununua vitu vyako ukala ni nini?
 
Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,

Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
Kwani ofisi ni yako? Hapo upo kwa muda bro! Usijenge kibanda, fanya kazi, pata pesa, nenda nyumbani kajenge cha kwako,
Pata kazi, piga pesa, kawekeze Jenga cha kwako, kwenye ajira, upo kumtajirisha mwenye kampuni! Period! Usiote mapembe,
 
Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,
Brain error!! 🥱🥱🥱

Sasa wewe unaumia yeye akiwa anakula au???

Chakula ni chake si lazima akukaribishe

Na pia hiyo ndo sababu unakufanya usiifurahie ofisini
 
Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,

Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
Wewe ukiwa unakula Huwa unamkaribisha?
 
Kwani wewe huna chako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom