political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 291
- 705
Wakuu, Kheri ya mwaka mpya 2023.
Mwaka umeanza na nimepata wazo la kufanyiankazi kama biashara.
Kuna vijana wengi wana briefcase companies, hawana uwezo wa kupanga ofisi maana hata hivyo hawana uhakika wa kupata kazi.Lakini Kuna wakati wakipata kazi mwenye kazi anaomba awatembelee ofisini kwao.
Nimeona mwaka huu nijenge jengo dogo tu Eneo linalofikika Kwa urahishi kutokea pande zote, ndani yake naweka vi cubes ambavyo kila mjasiliamali anaweza kupanga Kwa mwezi,week,siku au masaa.
Mfano, umepata kazi na wanaokupa kazi wanataka wakutembelee, unakuja tunakupangisha Kwa mwezi mmoja tu na kila kitu unakikuta. Meza ipo ya kisasa, ac, umeme, mtandao,simu, walinzi kabati nk wewe unachokuja nacho ni Laptop tu basi.
Na ukifika hapo tunakupa Uhuru wa kutumia ofisi Kwa kipindi chote ulichopangiaha pale.
Nimejaribu kufanya ka utafiti nahitaji kuwa na 60M tu kukamilisha jambo Hilo.
Naomba mawazo yenu