Ofisi kwa wajasiliamali wadogo

political Engineer 2

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
291
705
Wakuu, Kheri ya mwaka mpya 2023.

Mwaka umeanza na nimepata wazo la kufanyiankazi kama biashara.

Kuna vijana wengi wana briefcase companies, hawana uwezo wa kupanga ofisi maana hata hivyo hawana uhakika wa kupata kazi.Lakini Kuna wakati wakipata kazi mwenye kazi anaomba awatembelee ofisini kwao.

Nimeona mwaka huu nijenge jengo dogo tu Eneo linalofikika Kwa urahishi kutokea pande zote, ndani yake naweka vi cubes ambavyo kila mjasiliamali anaweza kupanga Kwa mwezi,week,siku au masaa.

Mfano, umepata kazi na wanaokupa kazi wanataka wakutembelee, unakuja tunakupangisha Kwa mwezi mmoja tu na kila kitu unakikuta. Meza ipo ya kisasa, ac, umeme, mtandao,simu, walinzi kabati nk wewe unachokuja nacho ni Laptop tu basi.

Na ukifika hapo tunakupa Uhuru wa kutumia ofisi Kwa kipindi chote ulichopangiaha pale.

Nimejaribu kufanya ka utafiti nahitaji kuwa na 60M tu kukamilisha jambo Hilo.

Naomba mawazo yenu
 
Mbona wano fanya hiyo biashara wapi tayar na changamoto wanaiyona aisee. Labda nikupe ushauri kidogo. Em fanya kwanza research ya walio kwenye Raman wanafanyaje fanyaje ilinuweze kupata ubunifu wa kuboresha zaidi au uweke mazingira ya Kodi Kila mtu aweze ku afford ndo utapata wateja.

Sjajua mkoa uliopo ila kwa dar na Arusha kwa Arusha wamefanikiwa sana coz Hawa mawakili ndo wengi Wana panga kwao pamoja na contractor company nyingi hua n za kuhama hama so huafanya biashara na watu Hawa.
Kulingana na mkoa na eneo uliopo unaweza toboa Mzee. Go go go
 
Nipo Dar es salaam,utafiti Mdogo niliofanya nimeenda pale posta Kuna Hawa property management consulting companies ndiyo wanafanya hivyo,lakini ukienda pale pesa Yao ni nyingi mno,na wanakupa chumba chako peke yako.mimi nafanya pool, yaani ofisi moja mnakaa kama watatu lakini kila mtu na meza na kabati lake,na bei itawalenga vijana wasio na mtaji mkubwa, Hawa construction company wanahitaji ofisi kubwa hizo sitaaford Kwa Sasa. Lawyers hao sawa maana hawahitaji space kubwa.
 
Sawa hapa utatoboa. Start activation bila hivyo uta ghairi Mzee.
 
Nipo Dar es salaam,utafiti Mdogo niliofanya nimeenda pale posta Kuna Hawa property management consulting companies ndiyo wanafanya hivyo,lakini ukienda pale pesa Yao ni nyingi mno,na wanakupa chumba chako peke yako.mimi nafanya pool, yaani ofisi moja mnakaa kama watatu lakini kila mtu na meza na kabati lake,na bei itawalenga vijana wasio na mtaji mkubwa, Hawa construction company wanahitaji ofisi kubwa hizo sitaaford Kwa Sasa. Lawyers hao sawa maana hawahitaji space kubwa.
Na pia hizi NGO ndogo ndogo pamoja na microfinance utawapata. Kila la kheri
 
MKuu NImeona hili wazo lako,Kama uko nalo serious na Unahitaji kulifanyia kazi kwa Mkoa wa Dar esalaam.Nikushauri Uanze kulifanyia kazi.Ila litahitaji maboresho katika maeneo kadhaa ili liendane na mazingira ya kwetu has in terms of style za ufanyaji wa kazi.Kama Unahitaji Mtazamo zaidi nafikiri unaweza kunitazama ili tuangalie namna ya kulitekeleza.
 
kwa Huduma
  • kufanya makadirio ya Kodi
  • Kuandaa Hesabu za Kampuni
  • kusajilri kampuni (zote)
  • Kupata cheti cha uwekezaji Tanzania
 
Attachments

  • 20230206_054638_0000.png
    20230206_054638_0000.png
    35.1 KB · Views: 5
  • 20230206_060115_0001.png
    20230206_060115_0001.png
    29.4 KB · Views: 6
  • 20230206_060742_0000.png
    20230206_060742_0000.png
    27.7 KB · Views: 6
  • 20230206_061440_0000.png
    20230206_061440_0000.png
    17.1 KB · Views: 6
Back
Top Bottom