Ofisi ILO Tanzania inatusaidiaje?

Tumain

JF-Expert Member
Jun 28, 2009
3,154
70
Kuna ofisi kubwa ya ILO (International Labour Organization), naombeni wana JF mnifahamishe zinatuasaidiaje? au zinawasaidiaje wafanyakazi wa Tanzania
1. hasa wanaofanya kazi kima cha chini?
2. Wana finance projects zipi? kwa sasa
3. Kwanini kuna ofisi mbili kubwa hapa kwetu (Dar and Zanzibar)?
 
U can google.
Kwa kifupi ILO kwa Tanzania wanasaidia katika kuhakikisha utatu (TRIPATITISM) ule wa Trade Unions, Government na Employers Association unafanya kazi barabara ile kuwepo na maelewano mazuri katika mahusiano ya kazi/ajira.Lengo n kulinda ajira zenye staha, zenye kuzingatia misingi ya haki za binadamu na urari wa jinsia.Baadhi ya programme zao ni pamoja na kupambana na Ajira mbaya za watoto, kuwepo na ajira nyingi na bora, kuwepo na ajira decent kwa wanawake na vijana etc.
Wanafanya kazi kwa karibu sana na Wizara za Kazi na ajira BARA na ZNZ, TUCTA,ATE na sekta binafsi ikiwemo mashamba makubwa ( plantations) etc.Kwa uchache sana.
 
Kuna ofisi kubwa ya ILO (International Labour Organization), naombeni wana JF mnifahamishe zinatuasaidiaje? au zinawasaidiaje wafanyakazi wa Tanzania
1. hasa wanaofanya kazi kima cha chini?
2. Wana finance projects zipi? kwa sasa
3. Kwanini kuna ofisi mbili kubwa hapa kwetu (Dar and Zanzibar)?

Kwa sababu kuna watu hawa kawii kulalamika kitu kikiwepo upande wa pili tu. Isingekuepo pote kun watu wangesha anza mambo ya "kwa nini?"
 
Back
Top Bottom