Kabembe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2009
- 2,548
- 1,741
Ndugu usiogope Mtu mwenyewe kumbe wa IT situnaflsh maprogram yote kijeshijeshi tunaanza upya -Mi ningeogopa sana kama angekuwa mkuu wa pale Ngelengele au Monduli
Sasa kama keshapita kote huko Ngerengere, Monduli n.k.? Hawa jamaa wako siku nyingi sana ndani ya majeshi yetu even ndani ya TISS, watanzania tunaona sifa tukiambiwa wakarimu kwa kuruhusu wageni bila hata kuhoji.