Officially: Tanzania scraps visas for South African visitors

Officially: Tanzania scraps visas for South African visitors

its now official, any south african can come to tanzania freely without a visa, the decison was reached recently in dar es salaam.... South african had allowed tanzanian to visit south africa without visa for sometime now!!![
MASWALI YANAKUWA MENGI HAPA

1.NI KWA KIASI GANI SERIKALI INAWAAMINI HAWA RAIA WA S.A?

2.JE SERIKALI INAO UWEZO WA KUJUA KILA RAIA WA S.A ALIPO HAPA NCHINI NA ANAFANYA NINI?

3.SERIKALI HAIONI KUWA KUNA WATU WANAWEZA KUTUMIA NAFASI HIYO NDIVYO SIVYO?

KWA NCHI YETU JINSI ILIVYO NA UTENDAJI WA KAZI ULIVYO,HILI SUALA WAMELIBAKA.
 
Mtego !! ukijikwaa tu, shimo hilo ! kwa SA watakuja na taaluma na mbinu za kunyakuwa opportunities, Na TZ tutenda kutembea, kutalii, kujitibu (medical trips), masomo ya juu. Fursa mpya.

Waache waje. Wakiona fursa wazitumie kwani sisi tuliopo humu hatajaziona hizo watakazoziona wao. Kimsingi this is good move. I welcome it.
 
Unamaanisha waendao Hong CongKong hawahitaji kuomba visa ila wafikapo huko ndipo hupewa fisa ufisi za uhamiaji uwanjani na mpakani? Njia nzuri ya kukuza biashara ndio maana naona watanzania waliosheheni kwenye ndege ziendazo huko kumbe visa huko ni tambalare.
nafikri hata kwenda botswana, visa unachukua ukifika mpakani/ airport. i went there a couple of years ago sikumbuki kuomba visa wkt nikiwa huku
 
Na hii mbona inafanya kazi kuanzia 2010!? For the last time i went in south africa last year, i did not need VISA. Ishu ni kwamba if you are going there and expected to stay there for not more than 90 days, no need for the visa unless you stay there more than 90 days you will be required to have it!

mzee read between the lines!! wap walisharuhusu zamani sana,ila sisi tulikuwa hatujawaruhusu,with this,now we are even...
 
Una maana watanzania wamekuwa na privileji hiyo kwa siku nyingi na sasa wasauzi ndo wanalegezewa kamba?
ukiona hivyo ujue wa-south walishaona kuna faida flani kwao (economically) kwa waTz kwenda kule. kama ilivyo kwa hong kong sbb mojawapo ya kutolewa visa ni waTz wengi wanaenda kuchukua bidhaa kule kuleta huku. am not sure kama tunanunua bidhaa sana kutoka SA, lakini haiwezi kuwa privilege ambayo haina manufaa kwao
 
Mtego !! ukijikwaa tu, shimo hilo ! kwa SA watakuja na taaluma na mbinu za kunyakuwa opportunities, Na TZ tutenda kutembea, kutalii, kujitibu (medical trips), masomo ya juu. Fursa mpya.
===>waache waje tujifunza maisha,na sisi twende kwao tukapambane,hata kubeba boksi sio mbaya
 
Wacha waje tu wachume shamba la bibi. Hapa ni wazungu tu wa South Africa watanufaika zaidi kuingiza watu wao kwenye machimbo na kuondoka na dhahabu na Almasi
 
Hata mimi cjaelewa.....!!! ntashangilia nkishapata ufafanuzi!

Baada ya siku 90, ni uhalarishe ukazi, ama urudi kwenu ama usubiri operasheni kimbunga ikukumbe kama mhamiaji haramu.
 
Baada ya siku 90, ni uhalarishe ukazi, ama urudi kwenu ama usubiri operasheni kimbunga ikukumbe kama mhamiaji haramu.

ndugu acha kuandika vitu usivyojua. Baada ya siku 90 kama watahitaji siku zaidi wanaweza kwenda kuongeza muda ktk ofisi za uhamiaji kwa muda wa wiki 2 kwa kulipia kiasi fulani cha fedha, na hizi wiki 2 zikiisha wanaweza kuongezewa tena wiki 1, baada ya hapo anatakiwa aondoke nchini, na anaweza kwenda hata Zambia kupitia boda na kurudi siku hiyo hiyo na kupewa tena siku 90.
 
Sasa ulichoandika kunatofauti gani na nilichoandika unachokipinga?
 
Acha pumba! Mimi apa niko South, tembea sio kuadisiwa tu!
Mkuu Hotuba ya Raisi imejaa maneno ya Nimeambiwa na nimeelezewa sasa mambo ya kuadithiwa nayo ni Pumba?
 
Mkuu me najua sisi tulikuwa hakuna pass yakuingia s.a tangu 2010 hadi sasa. Kenya wanatumia. Two months ago nilikuwa huko na nikawa na jamaa fulani wa kenya wakilalamika juu ya kushindwa kupata visa mapema ili wafanyie tafiti zao huko.

Pengine siko sahihi ama mambo yamebadilika kwasababu nakumbuka miaka ya nyuma kulikua na malalamiko kwanini Wakenya wanaingia SA bila kuhitaji Visa wakati Watanzania tulioshiriki ktk mapambano ya Ukombozi wa nchi yao tunatakiwa kuomba Visa!

Jambo muhimu ni jinsi gani Watanzania tutatumia fursa hiyo kujipatia maendeleo. Tusianze kuangalia majirani zetu wananufaika vipi. Mabepari/Wawekezaji wa SA siku zote wataangalia sehemu gani watapata faida zaidi siyo urafiki!
 
Mtego !! ukijikwaa tu, shimo hilo ! kwa SA watakuja na taaluma na mbinu za kunyakuwa opportunities, Na TZ tutenda kutembea, kutalii, kujitibu (medical trips), masomo ya juu. Fursa mpya.

Pia na fursa ya kwenda kubeba unga kwa wabongo.
 
Back
Top Bottom