Officially: Tanzania scraps visas for South African visitors

Officially: Tanzania scraps visas for South African visitors

I have been in South Africa several times last year mbona hii kitu ilishaanza siku nyingi?

Issue hapa ni raia wa afrika kusini wakija Tanzania ndio hawahitaji visa. Walikuwa wanahitaji visa
 
Haka ka utaratibu kamekuwepo siku nyingi sijui kwa nini balozi ameamua kukatangaza leo,..mimi mwenyewe mara mbili nimesafiri kwenda SA kwa kutumia passport ikiwa ni mwaka 2011 na mwanzoni mwa 2012. Ila hakikisha yellow fever card unayo mkononi otherwise wanaweza kukuweka kwenye next flight ya Dar

Niweke alama
 
Welcome South Africans, we are longtime friends, true friends, friends in all seasons!

Watanzania acheni uoga usio na maana, kama ni wahamiaji wasio na tija na wanaochukua fursa za wenyeji basi sisi kule ndio wenyewe.

Waache waje kiurahisi tushirikiane tuiondoe nchi yetu kwenye matusi na kejeli za ulaya.
 
ukiona hivyo ujue wa-south walishaona kuna faida flani kwao (economically) kwa waTz kwenda kule. kama ilivyo kwa hong kong sbb mojawapo ya kutolewa visa ni waTz wengi wanaenda kuchukua bidhaa kule kuleta huku. am not sure kama tunanunua bidhaa sana kutoka SA, lakini haiwezi kuwa privilege ambayo haina manufaa kwao

Labda kulipa fadhili ya kuhifadhiwa pale Moro ilipo SUA ambapo ilikuwa makao yao wakati wakipigania ubaguzi wa rangi nchini mwao.
 
Serikali za Tanzania na Afrika kusini zimeondoa viza kwa wasafiri wa kutoka pande zote mbili ambao watakuwa wanasafiri kwa shughuli mbalimbali ikiwemo za kibiashara na matembezi. Sasa msafiri wa kutoka Tanzania ataweza kusafiri bila ya kuhitajika kuwa na visa kwa safari ambayo haitazidi siku 90.
Maafikiano kati ya Tanzania na South Africa yamefikiwa baada ya maafikiano kati ya viongozi wa serikali wa pande zote mbili. Na yameanza tangu mwezi julai mwaka huu.

Tanzania removes visas for South African visitors - National - thecitizen.co.tz

Je hii ni ishara ya Tanzania kuimarisha uhusiano wake zaidi na nchi za umoja wa kusini mwa jangwa la Sahara baada ya ule wa Afrika mashariki?
 
Safi.

Ila lazima kuwepo utaratibu wa kubalance hiyo flow ya watu ili kuwepo na equilibrium. Isije kuwa ni unidirectional.

Vile vile isije kuwa ni unafuu kwa watu wa sembe.
 
Duh, sina hakika kama hiki ni kitu kipya.

Sijawahi kuchukua visa kwenda Afrika Kusini tangu mwaka 2010 na nimekuwa nikisafiri nchi nyingi za SADC bila visa kwa miaka karibu mitatu sasa na ushee, kwahiyo utaratibu wa kuingia Afriika Kusini bila visa una zaidi ya miaka mitatu sasa.
Kulikoni umepata taarifa hii leo mkuu??
 
Duh, sina hakika kama hiki ni kitu kipya.

Sijawahi kuchukua visa kwenda Afrika Kusini tangu mwaka 2010 na nimekuwa nikisafiri nchi nyingi za SADC bila visa kwa miaka karibu mitatu sasa na ushee, kwahiyo utaratibu wa kuingia Afriika Kusini bila visa una zaidi ya miaka mitatu sasa.
Kulikoni umepata taarifa hii leo mkuu??

ukweli umesema,
labda sasa ndio imekuwa rasmi.... pia ni fursa kwa nchi hizi mbili na zngne za SADC.
 
ukweli umesema,
labda sasa ndio imekuwa rasmi.... pia ni fursa kwa nchi hizi mbili na zngne za SADC.

Mkuu

Ilikuwa rasmi siku nyingi sana maana nchi zote za SADC zilikubaliana kuondoleana visa tangu 2010 na Tanzania na Afrika Kusini zikiwemo. RTena Afrika Kusini ilikuwa miongoni mwa nchi za mwisho kuchelewesha utekelezaji na hiyo ndio ilikuwa 2010 walipoamua kutekeleza sasa. Huo u-rasmi kuja miaka mitatu badae sio kabisa mkuu. Ilishakuwa rasmi tangu zamani.

Hawa jamaa waleta mada wamechukua hii habari toka kwenye makala ya Gazeti moja la Afrika Kusini wakidhani hii kitu ni mpya kumbe ni ya zamani sana na mwandishi wa hiyo habari alikuwa anafanya reference tu
 
Teh teh teh,nilikuwa sijui hii kitu kwani nauli ya ndege kwenda kwa madiba shi ngapi
 
Keep watching on how they will take over your economy as you slumber
Acheni kupanic kwa kila kitu. Hiyo ni visa tu na si kitu kingine. Wangetaka kuja kuchukua fursa wangeshakuja zamani. Wabongo tabu tupo!
 
Back
Top Bottom