fukunyungu
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 717
- 195
imekaa vizuri, big up.
Dawa yao!! opportunist Kenyans! and hungry BAHIMA empire leaders PK, and M7.![]()
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini,Radhia Msuya
Raia wa Afrika Kusini wanaopenda kuitembelea Tanzania hawatahitaji kutumia viza, badala yake watatumia pasi zao za kawaida za kusafiria, ubalozi wa Tanzania nchini humo ulieleza juzi.
Kadhalika, raia wa Tanzania wanaopenda kuingia Afrika Kusini nao hawatahitaji viza.
Taarifa ya ubalozi huo ilieleza kwamba fursa hiyo ni kwa Waafrika Kusini na Watanzania wanaopenda kutembelea nchi husika kikazi, kibiashara, binafsi, mapumziko ya sikukuu au wanaosafiri kuelekea nchi nyingine.
Hata hivyo, kibali hicho kipo kwa muda maalum wa siku 90 kuanzia Julai mwaka huu.
Katibu katika ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Habib Mohamed, alisema uamuzi huo ulifikiwa baada ya majadiliano na mamlaka husika za serikali za nchi hizo mbili.
Hatua hiyo imefikiwa pia kwa sababu nchi zote mbili ni wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc), hivyo Watanzania watakaokuwa wanatembelea Afrika Kusini nao wameondolewa visa kwa siku hizo 90.
Awali, katika mahojiano, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Radhia Msuya, alisema nchi hizo mbili zimejadiliana namna ya kuimarisha mahusiano ya nchi hizo hivyo wamekubaliana kubadilishana taarifa kuhusu masuala mbalimbali ikiwamo uchumi, utalii, wahamiaji na wafungwa.
"Kwa sasa tunayo tume ya pamoja ambayo ni ngazi ya juu ya ushirikiano kati yetu...inajumuisha maeneo yetu yote ya ushirikiano," alisema Msuya.
Alisema utekelezaji wa makubaliano hayo unafanywa na tume hiyo ambayo imepewa kazi ya kuangalia masuala muhimu kama uchumi, biashara, diplomasia, masuala ya kijamii na kisiasa.
Alisema kumekuwa na kikundi cha vijana wa Afrika Kusini ambao wamekuwa wakisafiri kila mwaka kuja Morogoro kwa ajili ya kujifunza uhusiano baina ya nchi hizo mbili hivyo angependa Watanzania nao wakaenda nchini humo kujifunza historia ya uhusiano kati yao.
Mkuu jibu la swali lako lipo katika matamshi haya hapa:
Awali, katika mahojiano, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Radhia Msuya, alisema nchi hizo mbili zimejadiliana namna ya kuimarisha mahusiano ya nchi hizo hivyo wamekubaliana kubadilishana taarifa kuhusu masuala mbalimbali ikiwamo uchumi, utalii, wahamiaji na wafungwa.
Labda kwa kuongezea tu, huu utaratibu huwa upo kwa baadhi ya nchi zenye makubaliano fulani ya kiuhamiaji...
Nchi kama HongKong nayo hutumia utaratibu kama huu kwa Watanzania na baadhi ya raia wa nchi za Jumuiya ya Madola...
Unahitaji hati ya kusafiria na taratibu za kiuhamiaji unazikamilisha unapofika Uwanja wa Ndege kwenye Idara ya Uhamiaji...
NB:
Sina uhakika kwa sasa baada ya hili sakata la madawa ya kulevya maana sijafika huko kipindi hiki cha hili timbwili.
Unamaanisha waendao Hong CongKong hawahitaji kuomba visa ila wafikapo huko ndipo hupewa fisa ufisi za uhamiaji uwanjani na mpakani? Njia nzuri ya kukuza biashara ndio maana naona watanzania waliosheheni kwenye ndege ziendazo huko kumbe visa huko ni tambalare.
Dawa yao!! opportunist Kenyans! and hungry BAHIMA empire leaders PK, and M7.
Unamaanisha waendao Hong CongKong hawahitaji kuomba visa ila wafikapo huko ndipo hupewa fisa ufisi za uhamiaji uwanjani na mpakani?
Dawa yao!! opportunist Kenyans! and hungry BAHIMA empire leaders PK, and M7.
Wakenya wamekua wanaingia SA bila kuhitaji kuomba Visa toka enzi za utawala wa Rais Mandela. Watanzania tulikua tumebaniwa mpaka hivi karibuni. Lakini kwa mtindo huu wa vijana wetu kujigeuza makontena ya kusafirisha unga yawezekana tukapewa ban tena!
Mkuu me najua sisi tulikuwa hakuna pass yakuingia s.a tangu 2010 hadi sasa. Kenya wanatumia. Two months ago nilikuwa huko na nikawa na jamaa fulani wa kenya wakilalamika juu ya kushindwa kupata visa mapema ili wafanyie tafiti zao huko.Wakenya wamekua wanaingia SA bila kuhitaji kuomba Visa toka enzi za utawala wa Rais Mandela. Watanzania tulikua tumebaniwa mpaka hivi karibuni. Lakini kwa mtindo huu wa vijana wetu kujigeuza makontena ya kusafirisha unga yawezekana tukapewa ban tena!
Candid Scope
Am I missing a Point here????????Then what Next after hizo 90 Days ???????????????
Mkuu jibu la swali lako lipo katika matamshi haya hapa:
Awali, katika mahojiano, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Radhia Msuya, alisema nchi hizo mbili zimejadiliana namna ya kuimarisha mahusiano ya nchi hizo hivyo wamekubaliana kubadilishana taarifa kuhusu masuala mbalimbali ikiwamo uchumi, utalii, wahamiaji na wafungwa.
Labda kwa kuongezea tu, huu utaratibu huwa upo kwa baadhi ya nchi zenye makubaliano fulani ya kiuhamiaji...
Nchi kama HongKong nayo hutumia utaratibu kama huu kwa Watanzania na baadhi ya raia wa nchi za Jumuiya ya Madola...
Unahitaji hati ya kusafiria na taratibu za kiuhamiaji unazikamilisha unapofika Uwanja wa Ndege kwenye Idara ya Uhamiaji...
NB:
Sina uhakika kwa sasa baada ya hili sakata la madawa ya kulevya maana sijafika huko kipindi hiki cha hili timbwili.
Candid Scope
Am I missing a Point here????????Then what Next after hizo 90 Days ???????????????
Kwa mazingira ya nchi za Kiafrika ni bora kuruhusu mwilingiliano wa raia katika nchi tofauti kwa nchi ambazo hazina ukaribu au amazo hazipakani kijiigrafia kwa maana kwamba anayetaka kwenda huko itambidi atumie usafiri na kuingia kwa kutumia mlango wa forodha badala ya kutumia njia za vichochoroni.
Pengine inaweza kutafsirika kwamba ni kujibu mapigo ya Tanzania kutengwa na nchi za Uganda, Kenya na Rwanda, na hivyo kuanza kuelekeza nguvu za ushirikiano Kusini mwa Afrika.
Hatua za awali kuona nini kinaendelea, mambo kama yanakaa sawa inavyotegemewa kutakuwa na uwezekano wa kupanua zaidi muda katika mkataba huo wa taratibu za uhamiaji.
The visa exemption applies for 90 days. The decision to exempt South Africans of visa requirements took effect on the beginning of July this year.