Officially divorced

Officially divorced

Hili nafkir mr Liverpool atalitolea ufafanuzi...sema na yeye ni kama kaasi chama due huku haonekni ....nahc kaamua kuoa na kubadili id...c ajabu akawa anatupa shit ambao tulikuwa tuko nyuma ya ajenda yake
 
Kinywa pombe Ni evidence tosha kwamba umemind Sana na bado unamind kile alichokufanyia mkeo wako.Inatosha kusema Kwamba were ndo uliyepewa talaka na hukuwa tayari kutalikiana na mwenzio.

Ndio maana umeenda kwenye gambe kupunguza stress.BTW, pole kwa kupigwa kitu heavyweight kichwani.
 
Mdogo wangu watu wakinywa Gambe ni wanakuwa na stress tu hiv una miaka mingapi na unakunya Gambe kweli wewe?
 
Mkiachana mwanaume mara ya kwanza hufurahi ila baada ya muda hujuta and vice versa is true.....alisikika mlevi mmoja akikatiza kwenye maji
 
Hahahahaha nyinyi ndio mnaouliwa kwenye Mahusiano kisa kuvumiliana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom