Officially divorced

Officially divorced

Kwa hyo baada ya kupost kuwa ulkuwa mipira ya kiume kwenye pochi ya mke wako ulkuja kugundua kuwa alikuwa anakucheat?,

Muache kabisa Tena mara mia
Mwanamke mzinifu na aachwe kabisa .
 
Pole sana kaka mkubwa.Huwa napata huruma sana pale ninapoona ndoa moja inavunjika. Labda kwa wengine ambao bado wako kwenye ndoa. Ndoa haijawahi kuwa mteremko.anayekwambia hivyo ni muongo au mmoja kwenye ndoa hiyo amekukubali kuwa mnyonge.Otherwise kwenye ndoa kuna kuchukuliana na kusameheana.kwa sababu wote ni wanadamu,tuna udhaifu mwingi.kuna kukoseana kwingi, ndiyo maana inahitaji kuvumiliana na kuelewana,kusameheana na kupendana. ujue unakutana na mtu ukubwani ambaye amezaliwa huko,akakulia huko, akalelewa huko .mnakuja kukutana mtaani mnaanzisha mahusiano.baada ya mwezi unatangaza ndoa ,vikao vinaanza,ndoa inafungwa.unafunga ndoa na mtu ambaye humjui vizuri.muda wa kumjua vizuri ukifika,unagundua umeoa kimeo.

Wakati wewe unafuraha ya kutoa taraka inawezekana na mwenzako naye amefurahi kukutua wewe kama lifurushi la misumari hiv.
All in all ndoa ni tamu,hasa ukupata mke/mume sahihi.

wale walioko kwenye michakato ya kuoa jipeni muda wa kutosha kufahamiana kabla ya kufanya maamuzi ya kuoa.ukigundua dosari kwa mwenzako ambayo huwezi kuivumilia kwa mwenzako achaneni mapema kabla ya kufunga ndoa.maana kuna udhaifu mwingine huwa ni ngumu kuubadirisha.

Epuka kufanya maamuzi ya kuoa/kuolewa kwa shinikizo la aina yoyote
Upo sahihi kabisa nakubaliana na wewe ndugu yangu ndoa ni tamu ukimpata mtu sahihi
 
Ndoa yako ndio Use**** kwaiyo we ukidivorce wanaume wote wadivorce???
Mwambie huyo fa...laa

Ngoja muda upite atarudi hapa
Ukute anafurahia kuwa free kula mbunye..hajui with tym atakinai...
Atatamani kuoa tena na kuwa na familia bora

Tym will tell
 
Rasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe Ndoa ni us***ge.

Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe
Hongera Brother, umepambana kihisia na kihali
 
Mwambie huyo fa...laa

Ngoja muda upite atarudi hapa
Ukute anafurahia kuwa free kula mbunye..hajui with tym atakinai...
Atatamani kuoa tena na kuwa na familia bora

Tym will tell
Sijui ya mbeleni ilq kwa idhini yangu sitamani kuona tena Hahahahaha nina furaha iliyopitiliza karibu karinyo tule bia
 
Nitaamini ndoa ni use*** kama

1. Mtu mzima nikae nae tuonane live. Mwenye mvi zake kuanzia miaka 65 maybe. Naamini wengi wao wana hekima. Huyo akiniambia na akaweka chini facts na jinsi yeye alivyosuceed maisha yake bila ndoa. Hapo nitaamini.

2. Mtu akipata kiti cha u-Rais bila kuwa na ndoa. Yani mtu apewe nafasi kubwa katika nchi ndo nitaamini.

NB: mwenye research ya owners wa makampuni, taasisi za kiserikali ambao wako single. Wafanyabiashara wakubwa wasio na ndoa pia...aweke hapa. Ili niamini kweli ndoa is a scam. Unless otherwise.. kila mtu ashike analoamini
 
Nenda afu urudi na majibu
 
Rasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe Ndoa ni us***ge.

Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe
Nina uhakika hd umefika hpo sio kaz ndgo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom