Officially divorced

Officially divorced

Nimeowa huu mwaka wa kumi huwezi nifundisha kitu kuhusu mwanamke,unaachana na mke unakimbilia bar kulewa?you must be kidding!

Mtu timamu angetaka kujua una lengo gani na watoto uliozaa na huyo mwanamke au hamkumzaa?au mlizaa umeona umwachie akahangaike nao ili wakiwa wakubwa useme nina watoto wakunitunza nikiwa mzee!!!
Kukuta Kondom na kilaini kwenye pochi ya mkeo ni jambo dogo kwa wazinzi na nijambo kubwa sana kwa sisi tusiowazinzi.
Acha jamaa atafute amani ya moyo wake sehemu nyingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom