Officially divorced

Officially divorced

I wonder why unashangilia hivyo kitu ambacho ulipaswa ukae chini ujitathimini kama mwanaume.
Na kwa huo mwelekeo ulionao inaonekana kwa part kubwa umechangia hiyo ndoa kuvunjika
 
Kama talaka tayari unamwitaje mkeo mwite aliyekua mkewangu unamsongo mawazo unaenda kunywa tena
 
Ukikimbia nchi kwa vile inanyesha, ndugu, it rains everywhere, tofauti ni misimu tu..!! Haya, huyo uliyeachana naye, ulifanikiwa kuzaa naye?
Yap ndio maana taratibu za talaka zimechukua muda mrefu ili kuweka sawa mazingira ya watoto
 
Mkishaachana, there is no way mazingira ya watoto yakakaa sawa..!! Mazingira sawa yatapatikana mkiwa kwenye ndoa na mnaishi pamoja
Hii mentality imewafanya watu kuishi maisha ya tabu mateso na chuki kubwa na kuleta hasara mbalimbali ikiwemo kifo
 
Hii mentality imewafanya watu kuishi maisha ya tabu mateso na chuki kubwa na kuleta hasara mbalimbali ikiwemo kifo
Hayo uliyoyataja umeyakimbia kwa kuvunja ndoa, lakini ujuwe umeyaacha kwa watoto
 
I wonder why unashangilia hivyo kitu ambacho ulipaswa ukae chini ujitathimini kama mwanaume.
Na kwa huo mwelekeo ulionao inaonekana kwa part kubwa umechangia hiyo ndoa kuvunjika
Nimefurahi
 
Pole mkuu. Ndoa zikiwa na maugomvi Kwa kweli ni chungu sana... Ila sasa upate ambaye mnaelewana mmeshibana na ni washikaji... Ndoa ni tamuu hatari...
 
Acha kuingiza watu mkenge. Ndoa sio us***e, kama wewe umeingia chaka ni pekee yako.
 
Ndio sio us....nge ila badhi ya wanandoa ndio Was....nge, ndio maana baadhi yao wakivunja mdoa zao kwa us...nge wao wanalika watu kwenda kufanya sherehe za kis....nge
 
Rasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe Ndoa ni us***ge.

Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe
Hongera brother ,vipi maisha baada ya talaka?
 
Rasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe Ndoa ni us***ge.

Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe
Ooooza
 
Rasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe Ndoa ni us***ge.

Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe
Wewe ni mjinga sana soon utaliwa tigo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom