Official Windows 10 ISO files now available for download

Official Windows 10 ISO files now available for download

Kaka, ni vema kufanya clean installation ama nifanye upgrade tu??

nashauri Clean Installation, ila ni vyema ukaCreate image ya PC yako ya hiyo current win 8/8.1 iliyopo, especially kama umeshaifanyia updates. hii itakusaidia baadae ukitaka kurudisha win yako ya awali itarudi ikiwa na most updates pamoja na programs zako
 
Hii ni habari njema .. Kuna zile pirated windows juzi nilikutana na moja nayo ikasema inaruhusiwa kufanyiwa upgrade ya windows 10.

Nasema pirated nikijua kabisa haijanunuliwa, hii imekaaje ??
 
Vipi kuhusu Key Incase ndio ninaInstall kwa mara ya kwanza bila shaka itahitaji key. Swali lingine je? windows 10 Update inapatikanaje kwenye windows phone? je itakuja automatically au hadi kuInitiate update manually?
je? Windows insider itatumika kupata hii full update ambayo sio preview? na je? win 10 update for windows phone tayari ipo hewani au bado tusubiri?

Shukurani sana Mwl.RCT , Chief-Mkwawa snipa

Mkuu hivi hizi window phone mfano lumia 520 inaweza kuwa sh. ngapi dukani?
 
Last edited by a moderator:
wakati na download ile inafikia 70% si ndo umeme ukakatika.! pc ilivowaka ikaanza upyaaa ku download.Nafkiri microsoft wanatakiwa kutengeneza bugs za aina hiyo isitokee usumbufu huo aseee dah! hapa naanza moja tena but kwa utorrent under kickasstorrent
 
Mkuu hivi hizi window phone mfano lumia 520 inaweza kuwa sh. ngapi dukani?

Tafuta 435 utaipata kiurahisi chini ya 200,000 japo camera mbaya lakini ina 1gb ram hivyo itakaa miaka mingi bila kuwa outdated
 
wakati na download ile inafikia 70% si ndo umeme ukakatika.! pc ilivowaka ikaanza upyaaa ku download.Nafkiri microsoft wanatakiwa kutengeneza bugs za aina hiyo isitokee usumbufu huo aseee dah! hapa naanza moja tena but kwa utorrent under kickasstorrent
Sure, kwa hapa wamechemka sana... hamna hata option ya ku-pause! Wakati juzi na-download, ile imefika 70% ikatokea scenario ya kwamba lazima nisimamishe zoezi... tafuta key ya "pause", holaa... sikuwa na jinsi zaidi ya ku-stop na biashara ndo ikaishia hapo hapo na internet yenyewe ya Airtel hii!!!
 
kaka mi nitajuaje? hilo swali jibu unalo mwenyewe. ukifanya clean installation kila kitu kitafutika so kama unavitaka vitu vyako fanya backup kama huvitaki usifanye.

uki update kawaida vitu vyako vitabaki ila kuna uwezekano windows isiwe stable
Chief mkwawa una maanisha nini unaposema kufanya clean installation na upgrade ya kawaida ?
 
Chief mkwawa una maanisha nini unaposema kufanya clean installation na upgrade ya kawaida ?
-clean installation unafuta kila kitu kwenye drive yako kabla haujaweka windows mpya.

-upgrade ya kawaida unabakisha mafile yako (haufuti chochote) ukieka windows mpya)
 
-clean installation unafuta kila kitu kwenye drive yako kabla haujaweka windows mpya.

-upgrade ya kawaida unabakisha mafile yako (haufuti chochote) ukieka windows mpya)
Ahsante maana hapo nilipo nafanya(sahihi nikisema nimeruhusu )upgrade ya window 10 toka saa mbili mpaka sasandio kwanza ipo kwenye 65% ndio nikastuka nikifikiri labda kwanza inafanya "usafi "wa mafile yangu
 
Mnh! Hapo kuna jambo... nimetumia takribani dakika 30 ku-upgrade sasa kuanzia saa 2 hadi saa 7; five hours! Hata kama ingekuwa ndo pamoja na downloading bado huo muda ni mrefu kupitiliza!!
 
Yaani sijaistopisha nataka nione mwishowe au niianzishe upya?
 
Mnh! Hapo kuna jambo... nimetumia takribani dakika 30 ku-upgrade sasa kuanzia saa 2 hadi saa 7; five hours! Hata kama ingekuwa ndo pamoja na downloading bado huo muda ni mrefu kupitiliza!!

Hapo ss nafikiria kuianzisha upya yaani sasa iko 70%
 
Wakuu Window 10 kwangu imetulia walahainisumbui hata kidogo app zangu nimetoka nazo window 8.1 mpaka 10 na ziko fresh kabisa..Nilifanya clean installation

Mzee clean instillation ina hitaji key? Je naweza kutumia keys za Windows ya awali? Hapa na maanisha windows 7.
 
Mzee clean instillation ina hitaji key? Je naweza kutumia keys za Windows ya awali? Hapa na maanisha windows 7.

Kama ni genuine key ya windows 7 itakubali. Windows 10 ni bure kwa wanaotumia windows 7 na 8
 
Kama una download hapo hapo itakuwa internet yako ipo slow

Dah basi hii yangu huo u slow urakuwa ni babu yao mkuu sasa opo kwenye 75% nadhani ningestopisha ingekuwa tabu zaidi na file linasoma 2.699GB
 
Umesema kwa window 8 key zipo kwnye bios, hebu fafanua kdogo. Machine yangu ina window 8.1 na sms kwamba ntapata window 10 niliipata Chief_mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom