Official Windows 10 ISO files now available for download

Last edited by a moderator:
mm nilikuwa naidownload kwa kutumia hiyo link uliyotoa hapo juu hasa hiyo inayokutaka udownload image kwanza(link ya pili) sasa nimeiacha ucku kucha inadownload lakini cha ajabu ni kwamba nimeamka asubuhi nakukuta haipo, ila ile icon ya reservation ipo(mwanzoni haikuwepo) na inananiambia kuwa download in progress baada ya kufanya reservation sasa hapa cjui tatizo ni nini naomba msaada wenu ni kwamba imemaliza au ndo kuna tatizo hapo? Mwl.RCT Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Windows 10 is a buggy, Microsoft wanatakiwa kuirefine hii product ASAP.
 
Una hili folder kwenye pc? Jaribu kulisearch

$windows.~BT.
 
Last edited by a moderator:
Sikufanya clean installation lakini nili-update! Baada ya kufanya hivyo, sauti imekata na nimetembelea community page ya Microsoft, nimekuta users wengi wamekumbwa na hili tatizo! Je, kuna mwingine yeyote humu jamvini ambae ame-experience hili tatizo?

NB: Sikufanya downloading kwa kutumia ISO File as posted by Mwl.RCT above bali nilitumia link ya Microsoft ambayo waliitoa almost mwezi mmoja uliopita.
 
NB: Sikufanya downloading kwa kutumia ISO File as posted by Mwl.RTC above bali nilitumia link ya Microsoft ambayo waliitoa almost mwezi mmoja uliopita.

kaka link ya mwezi uliopita kuna uwezekano mkubwa ni windows 10 preview kwa ajili ya insiders na sio win 10 yenyewe.

kama sauti haifanyi kazi download driver zake, mara nyingi driver za win 8 zinakubali na win 10. kama hujui kudownload driver post full name ya mashine yako
 
Anyway, nimetumia neno link ambayo waliiotoa last month kujaribu kutofautisha na ISO file lakini ingawaje nili-reserve last month, ilipofika 29/07 niliingia kwenye fresh page ya Microsoft kwa ajili ya kupata new link. Ngoja nijaribu kwa hiyo solution uliyonipatia
 
Sikufanya clean installation lakini nili-update! Baada ya kufanya hivyo, sauti imekata na nimetembelea community page ya Microsoft, nimekuta users wengi wamekumbwa na hili tatizo! Je, kuna mwingine yeyote humu jamvini ambae ame-experience hili tatizo?

NB: Sikufanya downloading kwa kutumia ISO File as posted by Mwl.RCT above bali nilitumia link ya Microsoft ambayo waliitoa almost mwezi mmoja uliopita.

kaka link ya mwezi uliopita kuna uwezekano mkubwa ni windows 10 preview kwa ajili ya insiders na sio win 10 yenyewe.

kama sauti haifanyi kazi download driver zake, mara nyingi driver za win 8 zinakubali na win 10. kama hujui kudownload driver post full name ya mashine yako
Na kwa faida kwa wengine ambao wanaweza kushindwa pa kuanzia hata baada ya kupewa maelekezo, this can be useful as well.
 
Last edited by a moderator:
ukiitaji clean installation

download https://thepiratebay.la/torrent/12172211/Windows_10_RTM_AIO_(8-in-1)_En-US_DVD_(x86-x64)

windows 10 key
for the PRO version. : VK7JG-NPHTM-C97JM-9MPGT-3V66T
For the Home version : TX9XD-98N7V-6WMQ6-BX7FG-H8Q99

na ukiitaji cracker ya ukweli kwa windows 10

chukua hapa https://yadi.sk/d/203jJamaiEPCi
 
Hapo safi sana kaka na kweli ni imetulia sana ipo 3d mpaka utamu.
 
Hivi ni kweli insiders wanapewa free ugrade ya win 10? Mimi ni mmojawapo wa ila nimejaribu kuipandisha preview kwenda Home basic jamaa wamenikazia kwenye keys. kwa sasa natumia Home Basic kutoka torrent ila sijaipenda ingawa iko pouwa.
Msaada kama kuna njia nieweze kufanya clean installation 😛c yangu ilikuja na w vista.
 
Watu wa vista hawajaqualify free upgrade hapo ni either ununue au uchakachue
 
Hivi ni kweli insiders wanapewa free ugrade ya win 10? Mimi ni mmojawapo wa ila nimejaribu kuipandisha preview kwenda Home basic jamaa wamenikazia kwenye keys. kwa sasa natumia Home Basic kutoka torrent ila sijaipenda ingawa iko pouwa.
Msaada kama kuna njia nieweze kufanya clean installation 😛c yangu ilikuja na w vista.
Free upgrade ya windows 10 ni kuanzia Windows 7,8 na 8.1 tu. Vista utalazimika kununua
 
Windows 10 is a buggy, Microsoft wanatakiwa kuirefine hii product ASAP.

Sijui hiyo yako. Lakini Windows 10 niliyonayo ni perfect. Nzuri kuliko 8.1 na bora kuliko XP
Muhimu ni kuipa hiyo os kuji upgrade na kuongeza important tools zote. Tatizo watu wana install na Kukimbilia kutumia.
Inahitaji walau masaa 3 ya kujiweka sawa. Na uwe full connected online
 
Nmejarbu mara 2 kuupgrade bila mafanikio, mara ya kwanza ilifka 92% mara ikapotea mara ya 2 ilifika 80% ikakata wakat bando ni unlimited sasa nashindwa chakufanya na nimeanza kufikiri kujarbu kupakua kupitia piratebay...mnanishauri nifanye nn wajuzi? Chief_mkwawa n@ wengine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom