Official Windows 10 ISO files now available for download

Official Windows 10 ISO files now available for download

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,597
Reaction score
22,338
Link 1
Code:
 http://www.windowscentral.com/official-windows-10-iso-files-now-available-download
Link 2
Code:
 https://www.microsoft.com/en-us/software-download/windows10
win10.png

image.png

Link 1
Code:
 http://www.windowscentral.com/official-windows-10-iso-files-now-available-download
Link 2
Code:
 https://www.microsoft.com/en-us/software-download/windows10
win10.png

image.png

Vipi kuhusu Key Incase ndio ninaInstall kwa mara ya kwanza bila shaka itahitaji key. Swali lingine je? windows 10 Update inapatikanaje kwenye windows phone? je itakuja automatically au hadi kuInitiate update manually?
je? Windows insider itatumika kupata hii full update ambayo sio preview? na je? win 10 update for windows phone tayari ipo hewani au bado tusubiri?

Shukurani sana Mwl.RCT , Chief-Mkwawa snipa
 
Last edited by a moderator:

Kwa simu bado hadi mwezi wa 11 kutokana na ripoti mpya.

Kuhusu key kama una windows genuine nafikiri unatumia hizo hizo zako ila kama ni mzee wa kuchakachua subiria crack
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana mm niko naisogeza

Kama haujui Keys zako waweza Run command fulani unai run itakupa keys zako hata kama OS ilikuja pre-installed
ni vema kukaa nazo kama backup isijefika njiani ukaombwa

DLBzn7.png

Ila wamesema kama Wndows ilikuja pre-installed na keys hazijawekwa chini ya computer basi keys ziko ndani ya motherboard na ita upgrade bila kukuomba keys.

JTg5kj.png

Mm tokea asubuhi nasubiri hiyo upgrade situmiwi imenibidi nifate hii njia
 
Shukrani kaka Mwl.RCT Nimeshafanikiwa kupakua 32 bit version ya 10 Pro.

e681lc.jpg

Hapa ndiyo namalizia 64bit. Ahsante sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwa simu bado hadi mwezi wa 11 kutokana na ripoti mpya.

Kuhusu key kama una windows genuine nafikiri unatumia hizo hizo zako ila kama ni mzee wa kuchakachua subiria crack
Kaka, ni vema kufanya clean installation ama nifanye upgrade tu??
 
Nimeinstall rtm version ya windows 10. Honestly inaonekana iko poa except ina bugs, katika pc mbili nilizo install nime experience blue screen of death, pia nimeona watu wengine online wamekutana hilo.

Pia nilipo upgrade, app nyingi zimekuwa not compatible, pamoja na avg antivirus iliyokuwepo kwenye windows 8.1 niliyokuwa nayo

Imenibidi ni downgrade back to windows 8(nimependa option waliyoweka ya kudowngrade kama inakuletea shida)
Ngoja nisubiri kwanza wa fix bugs maana kwa kweli kwangu haijarun smoothly. Nime experince cursor pointer kugoma goma several times
 
Wakuu Window 10 kwangu imetulia walahainisumbui hata kidogo app zangu nimetoka nazo window 8.1 mpaka 10 na ziko fresh kabisa..Nilifanya clean installation
 
Nshaanza kuitumia hapa iko poa sana

6bg0hU.png

Tatizo nimejaribu kuinstall some apps kama dropbox na vlc for windows 8 kutoka store ni kama zinagoma lkn kuna baadhi ya apps zinakubali ku update
 
Nilipata sms yao lakini mpaka leo hakuna kitu. Naomba kuuliza backup nilazima kufanya?

kaka mi nitajuaje? hilo swali jibu unalo mwenyewe. ukifanya clean installation kila kitu kitafutika so kama unavitaka vitu vyako fanya backup kama huvitaki usifanye.

uki update kawaida vitu vyako vitabaki ila kuna uwezekano windows isiwe stable
 
Nshaanza kuitumia hapa iko poa sana

6bg0hU.png

Tatizo nimejaribu kuinstall some apps kama dropbox na vlc for windows 8 kutoka store ni kama zinagoma lkn kuna baadhi ya apps zinakubali ku update

hio store mpya bado ni beta, huku kwenye preview kuna store mbili sijui kama final version wameeka mbili au kuna hio mpya tu.
 
Wakuu wareja sana, MWL RCT asante kwa link, naendelea kufanya upgrade, nitawapa feedback ikimaliza
 
Back
Top Bottom