Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Izo ni zama zakaleeeeeeeeee
1b35a6461b4cadea2f1f700688312b33.jpg


Ufundi kitandani ,sio maguvu kujikamua.
Unafika ndani ,hujatomasa unakamua.
Wanawake waleo wanataka mikakati ,ukiwa mzugaji......huwapati
9f3c43bcb9ae68ef6d3ccd252bd2cce7.jpg


Eti uuze nyumba ,uweke HESHIMA Baa ??
Lipumba na mlema ........
Diamond nawema .....
2c4a66e22bddf78243d562fed8d1cb24.jpg
900cf927822305e1fd9b3994780b2a7f.jpg


Unanibipu nikupigie umeweka vocha ( wote mnaopenda miteremko).
Wadada wenye majina acheni visa , Unaitwa ukale dinner mnakwenda Tisa (asante queen[emoji23] [emoji382] )
dfcdd66e1a22fd41549569a86d9835fb.jpg


Yanin kunichunguza naishi wapi ? ( wabongo hii inahusu huku nilipo hawana Izo [emoji23] )
Yanini vidomodomo ,,kisa pesa za mgomo , msimu wa magufuli ..........
6f93f37f8a42b35cb128bd013fd65ab0.jpg


Zuwena nitampata wapi ?[emoji24]
Zuwena wazile nyakati !!!( Siku izi nipatashika )
7229c5ab343b604960bbd28f11ddb6d6.jpg


WALE WAPIGA DILI, SASA HALI MBAYA .
HIZI ZAMA ZA MAGUFULI, SIO ZA JAKAYA . ( huyu mkuu ndo kafunga kazi ,kila kitu kinatokea hapa ).
656d706ef7e1e20918451de634aa890a.jpg


Wasafiiiiiiiii
5d5ebc58013fe7663c81c753f907266d.jpg
.

I here by to declare WCB watu wanaojua kinachoendelea ktk JAMII.
 
Mwimbo huu nimejikuta nauimba na kutamani kuserebuka kila ukinijia.. hadi nauweka nisikie lyrics na beats.. miundo mizuri shaaaa

Hongera kwao.
 
Eric Omondi zilitendwa(zilipendwa) video cover
 
Back
Top Bottom