Deshmo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 4,820
- 4,264
Ali kiba
hata sijaelewa una maanisha nini
Nyimbo mbovu kama gari bovu
Hahahaa pole sana mkuu, ila usihuzunike!! nimesoma sana na ndio maana sijaelewa! kwa kifupi dokta hawezi kuelewa mambo ya mainjinia and vice versa!! kama kweli huna IQ ndogo basi utakua umenielewa!!Ni kawaida yetu waafrica tuna upeo mdogo wa uelewa yaani IQ, we pia kuna kila uwezekano ulifeli la saba na form 4.
Sasa nashindwa kuelewa umeweza kufungua email kufungua account, umeweza matumizi ya mtandao wa jf ila tu umeshindwa kuielewa habari yenye paragraph 3? Hii inanishangaza na kunihuzunisha kwa kweli