Huyo mhenga kakunwa na zilizopendw
Kitabu usichokielewa ujue hujatungiwa wewe amini amini nakuambia katika watanzania milion 45 mnaomchukia diamond hamzidi milion 15 na ndio maana badala ya kushuka kama mnavyomtabiria ndio anazidi kupanda
Jina lake tu uyo linaonyesha ni mpuuzi
kabisaaaana WOTE hao ni haters na nfo wanazid kikiKitabu usichokielewa ujue hujatungiwa wewe amini amini nakuambia katika watanzania milion 45 mnaomchukia diamond hamzidi milion 15 na ndio maana badala ya kushuka kama mnavyomtabiria ndio anazidi kupanda
Diamond kaniuzi kumkataa mtoto wa Hamisa Mobeto
apuuuzi wachache kisakichupa cha SEDUCE KIPUSA KILICHOSUBIRiIWA MWAKA NANUSU KIMEBUMA,WANALAZIMISHA NA HII IBUME,HAHAHHAAAA WACHA MONDI ATUKUMBUSHE ENZI HIZO BANAAAHata Nitoke vipi? Ya Bwana Misosi alitajataja tu majina ya watu ila ulikuwa Bonge la hiti!
Sent using Jamii Forums mobile app
USIZUGWE NA MAPAMBO YA DUNIA MDA WAKO WA KUISHI NI MFUPIWewe usiponipenda inanipunguzia nini kwa mfano? watu mnachekesha kweli!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipanic jombaa hayo ni maoni yakeJina lake tu uyo linaonyesha ni mpuuzi
HahahaYerico uyo anaejifanya jasusi wakati ni zero brain
HahahaHuyo mhenga kakunwa na zilizopendw
ZilipendwaUSIZUGWE NA MAPAMBO YA DUNIA MDA WAKO WA KUISHI NI MFUPI
https://www.google.com/url?sa=t&sou...CCMwAQ&usg=AFQjCNHtYe-n0j6CMTlKLi62nzF-BS0SZw
Sent from my SAMSUNG-SGH-I537 using JamiiForums mobile app
Msituletee humu maoni ya watu tuliowapita akiliUsipanic jombaa hayo ni maoni yake
Tunaongelea muziki mkuu, mambo ya pesa yametoka wapi tena au unatutishia na kutangaza karanga na perfume mkuu?
Wenye akili hawadharau maoni ya wengineMsituletee humu maoni ya watu tuliowapita akili
Maoni ya kijinga lazima yapuuzweWenye akili hawadharau maoni ya wengine