likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,091
Mi nilivyouona uzi huu saa 12 afajiri nikajua we ni mzazi mwenzie...kumbe mwanaume! kuna shida sehemuNakusamehe dogo kosa si lako ni la pale kati ULIPOTOKEA PABAYA!Mwama Mtoka Pabaya Mwana
Izaya we!!Acha kuwashwa na nyuzi za wanaume asubuhi asubuhi dogo!!Tuliza mshono anzisha uzi wako!!
Mkuu lakini unaongozwa na mihemko sana. Sijatukana mtu wala sijam quote mtu wewe kuni quote halafu unatoa kauli za kipuuzi namna hii maana yake nini.? Tafadhali ndugu wacha heshima ituongoze. Nakustahi..!!Kweli King basha wenu anaewakuna vizuri,bila kumtaja mnawashwa washwa
Kwani Hii Ndo Kazi Yake Mpya Baada ya Kipuu??Muache kiba aendelee kutaftiwa mademu fiesta na kupiga umbea na Mange kimambi
mkuu unataka aimbe maneno mapya yeye ni cambridge dictionary?Amna kitu apo. Anataka kitonga cha despacito
Tatizo la diamond si mbunifu katika mziki. Yeye ni wa kucopy copy tu. Huu wimbo anaiga melody ya despacito huku akimuiga Wizi kid style yake ya uimbaji.
Kajaribu kuimba kizungu lakini hakuna maneno mapy apo. Yote ni ya kucopy copy tu. Hiki ndicho kinamrudisha nyuma.
Kinachomuokoa ni video tu... katika video mimi hapo ndipo ninamkubar.
Watu walisha pinda mkuu.Watu wanafurahisha sana kwa comments aiseee...
Kuna jamaa kama anatumia uzazi wa mpango ngoma kwa mwaka moja
Mwingine eti yuko busy kutafutiwa mademu na gesti za buku tano...
Hujui Mziki ww, ngoma kali kila kitu. Diamond katulia sana ktk ngoma hii sababu anajua ameshirikisha vichwa vitakatifu duniani. Diamond angeharibu endapo angeimba kiswahili mwanzo mwisho. FORZA DIAMOND.Nimeipenda sana video ya wimbo huu, lakini wimbo kwa maana ya melody, na beats zimepooza za kawaida sana!
Kama angekuwa ametoa video kwa kiwango kibovu kama cha seduce me basi wimbo huu ungekuwa mbaya kuliko nyimbo zake zote!
Ona usivyojiamini, eti HATUNUNUI, we na nani? Mashoga ni aina ya wanaume makuwadi ambao wanaamka saa 12 asubuhi kusifia waume za watu.S.h.o.ga we, hatununui vi pumpkin hapa,shobo mwisho ukatikie msumali