Huyu jamaa 'Mwana Mtoka Pabaya' zero inamuwasha anatakiwa kupakwa mafuta!Wacha povu,kwa wivu wa kikuda...kwani kibaya kipi kuonesha hisia zake kwa msanii ampendaye...uzalendo kwanza kwakupenda cha nyumbani na si unafki kama wewe kiuno
Athubutu aone! Hawakawii kujilipua na mtu wale ndugu.HARERUYAH anatafuta kiki kwa pikipiki kwanini asiite TAKBIR
Pole pole basi Bi Mdogo mbona wawa mkali ka umeshikwa kalio kwenye mwendo kasi? Hivi kwanza tumesalimiana?Wacha povu,kwa wivu wa kikuda...kwani kibaya kipi kuonesha hisia zake kwa msanii ampendaye...uzalendo kwanza kwakupenda cha nyumbani na si unafki kama wewe kiuno