Official video: Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage - Hallelujah

Official video: Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage - Hallelujah

Kuna vitu vingne ni vya kifara kweli habari ya mziki na mke wa mond vinausiana vip, mpaka mtu povu limtoke kusema mond ni mdogo wa zali,huu ni ujinga ndo maana watanzania hatuendele kiuchumi,kuoneana wivu tu,majungu kila sehemu shenzi zenu wote mnao ingiza familia ya mond katika ushabiki wa mziki
 
Dude tamu hahitaji kununua views kwa hili
Bora huyu laizer kidogo kabadilika kammtofautisha kwa beats za akina harmonize
Hizi sio touch za laizer..lazima beat imetoka hukohuko mbele..labda dogo kaingiza vocals basi wakaweka na kalogo ka wasafi
 
mimi mwenyewe nilikuwa naangalia maonyesho ya kijeshi ya S.korea nashangaa nakatishwa kuangalia huo wimbo unakukuja kama wadhamini wa kipindi!!!

ameimba vizuri sana jamaa!!
 
OH HALELUYA! KILA MTU ATAIMBA HALELUYA.. HAKIKA YESU NI MWENYE NGUVU.

BADO KIDOGO TU


Ameimba na Rasta family na wanatamka HALELUJAH sasa sijui kama walimtaja huyo jamaa. Halafu kitu kingine, maudhui ya wimbo anamsifia demu, kwahiyo kuwa makini kabla wenye Yesu hawajakusikia
 
We ndio inakuwasha kiasi hujalala umekesha ukiombea kukuche umpindue Hamisa. Hivi kwani jamaa anakwangua na wa kiume?
Nakusamehe dogo kosa si lako ni la pale kati ULIPOTOKEA PABAYA!Mwama Mtoka Pabaya Mwana
Izaya we!!Acha kuwashwa na nyuzi za wanaume asubuhi asubuhi dogo!!Tuliza mshono anzisha uzi wako!!
 
Back
Top Bottom