Official video: Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage - Hallelujah

Amna kitu apo. Anataka kitonga cha despacito

Tatizo la diamond si mbunifu katika mziki. Yeye ni wa kucopy copy tu. Huu wimbo anaiga melody ya despacito huku akimuiga Wizi kid style yake ya uimbaji.

Kajaribu kuimba kizungu lakini hakuna maneno mapy apo. Yote ni ya kucopy copy tu. Hiki ndicho kinamrudisha nyuma.

Kinachomuokoa ni video tu... katika video mimi hapo ndipo ninamkubar.
 
Mtamwaga sana mapovu mwaka huu! Endelea kuongeza list ya aliyewa-copy basi manake baada ya kusikiliza mara moja tayari umeshagundua amei-copy despacito na hivi sasa anamuiga WizKid! Go on, ongeza orodha!!!

Hata video, endelea tu kuchunguza! Utagundua tu kam-copy nani kisha endelea na ramli zenu pendwa za kwamba anaporomoka ambazo mmeanza kuzipiga zaidi ya miaka 3 iliyopita lakini jamaa yupo tu!!!
 
Amna kitu apo. Anataka kitonga cha despacito

Tatizo la diamond si mbunifu katika mziki. Yeye ni wa kucopy copy tu. Huu wimbo anaiga melody ya despacito huku akimuiga Wizi kid style yake ya uimbaji.

Kajaribu kuimba kizungu lakini hakuna maneno mapy apo. Yote ni ya kucopy copy tu. Hiki ndicho kinamrudisha nyuma.

Kinachomuokoa ni video tu... katika video mimi hapo ndipo ninamkubar.
Acha majungu kijana. Hata maneno yako hakuna hata moja jipya yote umekopi.
 
Amna kitu apo. Anataka kitonga cha despacito

Tatizo la diamond si mbunifu katika mziki. Yeye ni wa kucopy copy tu. Huu wimbo anaiga melody ya despacito huku akimuiga Wizi kid style yake ya uimbaji.

Kajaribu kuimba kizungu lakini hakuna maneno mapy apo. Yote ni ya kucopy copy tu. Hiki ndicho kinamrudisha nyuma.

Kinachomuokoa ni video tu... katika video mimi hapo ndipo ninamkubar.
Wewe huo ubunifu wako uko wapi. Unaleta ubavicha hata kwenye burudani?
 
Amna kitu apo. Anataka kitonga cha despacito

Tatizo la diamond si mbunifu katika mziki. Yeye ni wa kucopy copy tu. Huu wimbo anaiga melody ya despacito huku akimuiga Wizi kid style yake ya uimbaji.

Kajaribu kuimba kizungu lakini hakuna maneno mapy apo. Yote ni ya kucopy copy tu. Hiki ndicho kinamrudisha nyuma.

Kinachomuokoa ni video tu... katika video mimi hapo ndipo ninamkubar.
Mkuu rudi kausikilize upya halafu sikiliza na hizo nyimbo zako.
 
Amna kitu apo. Anataka kitonga cha despacito

Tatizo la diamond si mbunifu katika mziki. Yeye ni wa kucopy copy tu. Huu wimbo anaiga melody ya despacito huku akimuiga Wizi kid style yake ya uimbaji.

Kajaribu kuimba kizungu lakini hakuna maneno mapy apo. Yote ni ya kucopy copy tu. Hiki ndicho kinamrudisha nyuma.

Kinachomuokoa ni video tu... katika video mimi hapo ndipo ninamkubar.
Hater..
Mkuu unavinasaba vya uchawi!
 
Back
Top Bottom