Official video: Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage - Hallelujah

Official video: Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage - Hallelujah

Diamond Marekani Ileeeeeee kazaaa Diamond Kazaaa Hili ni Kundi Kubwaa Hujaliangushaaa Kazaaaaa Maraaaa paaaap RickRoss Huyu hapaaaaa Maraaaa pap Best Music huyuuu hapaaaa Aaah mbona Marekani Tunaingiaaaaa naona Mdogo mdogo kiswahii kinaanza kukutokaaaaa Kaza D kazaaaaaaaaaaaaaaaaa

Huu wimbo Nautabiria makubwaaaa
 
Amna kitu apo. Anataka kitonga cha despacito

Tatizo la diamond si mbunifu katika mziki. Yeye ni wa kucopy copy tu. Huu wimbo anaiga melody ya despacito huku akimuiga Wizi kid style yake ya uimbaji.

Kajaribu kuimba kizungu lakini hakuna maneno mapy apo. Yote ni ya kucopy copy tu. Hiki ndicho kinamrudisha nyuma.

Kinachomuokoa ni video tu... katika video mimi hapo ndipo ninamkubar.
Haters gonna always spit the hatred
 
Back
Top Bottom