Official video: Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage - Hallelujah

Official video: Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage - Hallelujah

Dah!Kwa kweli huyu dogo anazidi kukimbiza tu na kuendelea kupanda juu,katoa ngoma mpya inaitwa 'Halelujah' akiwashirikisha wakali wa muziki mtamu wa regge duniani 'Morgan Heritage'. Saluti kwako bro!![emoji113] [emoji61]
Chibudee wakimbize!
 
Amna kitu apo. Anataka kitonga cha despacito

Tatizo la diamond si mbunifu katika mziki. Yeye ni wa kucopy copy tu. Huu wimbo anaiga melody ya despacito huku akimuiga Wizi kid style yake ya uimbaji.

Kajaribu kuimba kizungu lakini hakuna maneno mapy apo. Yote ni ya kucopy copy tu. Hiki ndicho kinamrudisha nyuma.

Kinachomuokoa ni video tu... katika video mimi hapo ndipo ninamkubar.
Ushawahi kuona mtu ametumia maneno mapya? Wewe mwenyewe umeandika kwa kutumia maneno yale yale yanayotumika kila siku!
 
Video imetoka masaa 7 yaliyopita inamanisha mishale ya saa nane usiku ..watu hua mnakesha kwenye you tube account ya nasibu
 
Nipigeni ban tu mamod, **** mamake ila DIAMOND UMENIKOSHA HATARI. LA MAMAKE WALAHI DIAMOND UNALAANA YA MUZIKI. Mm maisha yangu yote naskilizaga ngoma za morgan tu alaf jinsi ulivyotambaa nao hatari. Kweli hamna kama diamond nchi nzima.
 
Back
Top Bottom