Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,035
Inategemea uko wapi.Hivi marekani SAA hivi ni SAA ngap?

Amna kitu apo. Anataka kitonga cha despacito
Tatizo la diamond si mbunifu katika mziki. Yeye ni wa kucopy copy tu. Huu wimbo anaiga melody ya despacito huku akimuiga Wizi kid style yake ya uimbaji.
Kajaribu kuimba kizungu lakini hakuna maneno mapy apo. Yote ni ya kucopy copy tu. Hiki ndicho kinamrudisha nyuma.
Kinachomuokoa ni video tu... katika video mimi hapo ndipo ninamkubar.
Kuwa mchawi Sio lazima uloge watuAmna kitu apo. Anataka kitonga cha despacito