Ninachoshangaa ni kwamba na teknolojia ambayo ipo duniani, kwa nini wasifanye kuwa zile data zinazotunzwa kwenye blackbox badala yake ziwe zinawekwa kwenye land based servers in real time? Wangeshatatua hili tatizo zamani.....
Teknolojia nzima ya the so called "black box" inabidi kuwa redesigned, kwa sababu tangu ilipobuniwa mpaka sasa kuna mabadiliko makubwa sana yametokea. Especially in wireless / client server communications. Kuna mtu alisema - sijui jokingly au kwa ukweli- kwamba simu zetu hizi mpya za iPhone/ Android zina memory/ computing capacity kubwa kuliko system ya black box.
Tatizo linakuja unapotaka kubadilisha teknolojia iliyotumika kwa miaka mingi kama hii, inabidi kufanya a very expensive and comprehensive overhaul.
And the cost part may not even be the worst of it, that could be offset by raising ticket prices as usual. Ni huko kwenye kuwa comprehensive ndio kwenye mzozo.
Sitashangaa kusikia watu wana ma blueprint yote lakini wameyakalia, yanakuwa katika projections tu. You have to remember itabidi uwe na consensus ya nchi mbalimbali, mashirika ya ndege mbalimbali etc.
Na tunaona hapa ku search mabaki ya ndege tu mzozo, kila mtu anakuwa ana cheza mind games zinazohusisha intelligence machinations.
Mara mchina atoe picha na kusema kaona mabaki, mara aseme ooh, picha zimetolewa kimakosa.
Hata hatuwezi kuelewana kwenye suala dogo tu kama la a coordinated multinational search.
Ukija kwenye ku upgrade black box technology humo ndio kabisa, hawakawii kusema NSA inataka kuweka vidudu vya kunasa mawasiliano yote ya ndege zote.
Na hivi tunavyopenda anti US conspiracy theories, na mikampuni yenyewe ndiyo hiyo mi Boeing.
It's no easy task, and the hardest of it all is not the technology. It's the geopolitics.
Mambo ya teknolojia mara nyingi sana yanakwamishwa na siasa.
The way to go now is to make a backward compatible but upgraded system, to be used by the usual trendsetters (US, EU, Japan) nchi nyingine zikishaona system imekubalika huko itabidi zifuate tu kama kawaida.