The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Hivi tracking system ni kwa vehicles pekeee? what is the use of advance GIS and satelite imaging? naamini database zao zitakuwana ufahamu tosha .. ila la interterrestrial na kuvutwa kwa gravity ya sayari nyingine ni ngumu kumeza.. at what heigh possible kwa hiyo ndege kuweza kuvutwa? kuna tofauti kati ya ndege za abiria, vita na space ship/vehicles naamini
Nakubaliana na wewe mkuu, ndio maana hata aina na uwezo wa engine za vyombo vinavyotoka kwenye eneo la kushinda nguvu ya gravity vina uwezo mkubwa kuliko ndege za kawaida za abiria. Vinginevyo theory nyingi za sayansi zitakua zimekiukwa.