Hili tukio limesikitisha sana.natafakari ingekuwa ndege yetu tz sijui tungetumia nini kuitafuta au ndio tungesema kazi yake mola haina makosa tukaweka siku ya maombolezo na habari ikaishia hapo
Kwa wale wapendwa vipi hii ishu TB Joshua hajaitabiri or it was beyond his power ya kutabiri...
God made man, man made plane, plane disappeared almost 5days now and still people are guessing where could it be/go/crushed....?
Very confusing indeed.
Hili tukio limesikitisha sana.natafakari ingekuwa ndege yetu tz sijui tungetumia nini kuitafuta au ndio tungesema kazi yake mola haina makosa tukaweka siku ya maombolezo na habari ikaishia hapo
mungu asaidie ktk hili"AMEN"
Very interesting...! No one knows where the plane could be!
Mkuu navyoelewa gravity always pulls something down. Afu mara nyingi ndege zinapaa between 20,000 ft na 40,000ft, nilivyosikia hii ndege ilikuwa katika 40,000ft kabla ya kupoteza mawasiliano.. All in all hakuna kinachojulikana juu ya hii ndege, nadhani hii ndege ilianguka kama ile ya ufaransa iliyokuwa inatoka Brazil miaka michache iliyopita ambayo nayo ilichukuwa muda kupata mabaki baharini(ingawaje ilijulikana kilichotokea sio kama hii)kuna post moja jana iliongelea habari za gravity. kwamba labda ndege ilipaa juu zaidi ya upeo wa kuvutuwa na gravity na sayari dunia kwa hiyo imevutwa kuelekea juu. Kabla ya hii speculation ya CIA nilitaka kuamini hiyo theory ya gravity. baada ya hili la CIA sasa inachanganya kabisa.... nadhani CIA watakuwa na taarifa zaidi.
Mkuu swali kwa hoja yako ni kwamba ingeonekana kwenye radar wakati ikitoka angani kuelekea aldhini!. Radar huweza kuona kitu angani hata kama hakitumi mawasiliano. Hii ndege ilipotea kwenye radar kama mwanga wa tochi upoteavyo ukiizima!Intentionally pilots waliizamisha ndege baharini tena nose dive
ndege ishaonekana vietnam sea na watu wamepona
ALIENS wamebeba hio ndege!
Mungu anaweza kuonyesha maajabu mkuu.!Washakufa wote mkuu
Babu alifia wapi?Hii inanikumbusha ya Babu wa Loliondo! Watu hawakuwa na imani tena na hospitali.