Mdadamwenyewe
Member
- Mar 7, 2014
- 28
- 13
We still have a very long way to go ndugu zangu. Kweli mbwembwe zote za wamarekani, na ulaya, china na hapo kati(israel). Ujanja wetu wote wa kivita na teknologia, dude kubwa kama lile, leo tunaelekea siku ya 4, hatujui lilipo?
Inasikitisha sana, na tusijione wajanja sana.
Kiranga njoo utu-console.
Tukio hili ni la kushangaza sanaaa yani ts confusing sio kidogo