Na swala la ufanisi kazini, unalizungumziaje? Btw, i like ur ideas!
nadhani haina shida provided that it does not affect your official responsibilities!
sun wu, nakubaliana na hayo ila kuna uwezekano wewe ukawa kwenye uhusiano na mtu, then mkiwa ofisini mnafanya kazi kama vile nothing is going on? Mambo ya wivi si yatakuja? Kuna uhuru kweli katika hali hii? Huwa wafanyakazi wanakuwa na mda wa ku-socialize, watu wanamna hii watayafanya hayo? Baya zaidi, itokee kuwa bosi anataka kuwa katikati.... mmhh!So long as chochote unachofanya in your own time na hakina effect kwa wenzako au kazi unayofanya basi hakuna tatizo.., Issue inapokuja unapoleta personal issues kwenye kazi za watu, au peformance yako au ya wenzako kuathirika..
sun wu, nakubaliana na hayo ila kuna uwezekano wewe ukawa kwenye uhusiano na mtu, then mkiwa ofisini mnafanya kazi kama vile nothing is going on? Mambo ya wivi si yatakuja? Kuna uhuru kweli katika hali hii? Huwa wafanyakazi wanakuwa na mda wa ku-socialize, watu wanamna hii watayafanya hayo? Baya zaidi, itokee kuwa bosi anataka kuwa katikati.... mmhh!
Ufanisi unaweza usiwe wa kuridhisha na hata mahusiano na wafanyakazi wengine especially when one is a boss.
Nitakupa mfano halisi mmoja.
Kuna rafiki yangu alikuwa na uhusiano na boss, so boss was over conscious kiasi kwamba akawa anampinga mpenziwe hata anapoongea point, ili watu wasione au kutafsiri kuwa anapendelewa. Wakiwa wenyewe ana apologize na kueleza why he had to do what he did. Hii ni rare case but case nyingi ni zile za kweli boss kumpendelea mpenzi wake.
The other area watu wanashindwa kuwa karibu na kutaniana na either of you.