KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,314 Oct 7, 2011 #1 Nitakua maeneo ya Caribean bar - bungeni Dodoma kesho kuanzia saa 9. Ukijitambulisha umeona tangazo hili hapa JF, utapata nusu kilo bureeee! Nyote mnakaribishwa.
Nitakua maeneo ya Caribean bar - bungeni Dodoma kesho kuanzia saa 9. Ukijitambulisha umeona tangazo hili hapa JF, utapata nusu kilo bureeee! Nyote mnakaribishwa.
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,744 Oct 7, 2011 #2 Wewe!, hivi unajua leo ni ijumaa na wezio twajiandaa kwenda swala ya ijumaa?!, unaona sasa, umeshaniharibia udhu wangu inabidi nikatawadhe upya.
Wewe!, hivi unajua leo ni ijumaa na wezio twajiandaa kwenda swala ya ijumaa?!, unaona sasa, umeshaniharibia udhu wangu inabidi nikatawadhe upya.
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,314 Oct 7, 2011 Thread starter #3 Vipi ukipishana la lori la bia aka kilimanjaro lager au ukaona bango la konyagi, utarudi kutawadha?
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Oct 7, 2011 #4 asante kwa ofa kakajambazi. shida yangu ni hapo kwenye kujisachi, hiyo nusu kilo si unitumie kama parcel?nitaichukulia kituo cha polisi railway KakaJambazi said: Nitakua maeneo ya Caribean bar - bungeni Dodoma kesho kuanzia saa 9. Ukijitambulisha umeona tangazo hili hapa JF, utapata nusu kilo bureeee!View attachment 38528 Nyote mnakaribishwa. Click to expand...
asante kwa ofa kakajambazi. shida yangu ni hapo kwenye kujisachi, hiyo nusu kilo si unitumie kama parcel?nitaichukulia kituo cha polisi railway KakaJambazi said: Nitakua maeneo ya Caribean bar - bungeni Dodoma kesho kuanzia saa 9. Ukijitambulisha umeona tangazo hili hapa JF, utapata nusu kilo bureeee!View attachment 38528 Nyote mnakaribishwa. Click to expand...
DaMie JF-Expert Member Joined Mar 24, 2010 Posts 684 Reaction score 171 Oct 7, 2011 #5 KakaJambazi said: Nitakua maeneo ya Caribean bar - bungeni Dodoma kesho kuanzia saa 9. Ukijitambulisha umeona tangazo hili hapa JF, utapata nusu kilo bureeee!View attachment 38528 Nyote mnakaribishwa. Click to expand... Nitakaribia
KakaJambazi said: Nitakua maeneo ya Caribean bar - bungeni Dodoma kesho kuanzia saa 9. Ukijitambulisha umeona tangazo hili hapa JF, utapata nusu kilo bureeee!View attachment 38528 Nyote mnakaribishwa. Click to expand... Nitakaribia
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,709 Oct 7, 2011 #6 astakafurulilaiiiiiiiiii, we mwana we.
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Oct 7, 2011 #7 Dahh! Hii ofa inakuja lini dr jamani?????