Hivi kuna rough rider ya mademu?
tehe atatuaibisha huyu, ndoa hana,huyo rita wake aliporwa na masha basi kelele mtindo mmoja, anaonekana ni mtu wa visasi sana.namshauri aachane na siasa
asante shemu,
sasa shemu si unipage maujuzi ya kuweka hiyo kitu ili niwe nasave mapicha yako ndugu yangu mbona unanibania lakini?ebu achia hayo maujuzi tafadhali au unaogopa utakumbuka mengi ulivyo kopa na kusingizia umeacha/umesahau bar
and then...
You will know when you are inspired...
hehehehe!bwashee hebu rudia ulichokiandikaMiwani yangu ni ya mbao ama? wanaochangia jukwaa la mapenzi sio malegend na hawana upendo kwenye taifa je huyu ana malavdavi?
Hata iweje hamtakuwa kama Marekani na Ulaya. Endeleeni kupiga longolongo tu
hehehehe!bwashee hebu rudia ulichokiandika
Wangekuwa wapwa kale kaganga ka jana kangesema tumenunuliwa na mafisadi.....
We ni wa taifa gani? /wewe ni mtanzania?
Inajalisha mimi ni wa taifa gani?
te te te inajalisha.
Ki vile
Hata iweje hamtakuwa kama Marekani na Ulaya. Endeleeni kupiga longolongo tu