Ofa ya kutembelea Vatican kwa 200 USD tu

Hivi siku hizi vatcan ni nchi takatifu?

Hizi dini bwana, zinawafanya wajinga kua wajinga zaidi, wajanja kua wajanja zaidi na wajanja kua wajinga zaidi ila kamwe haziwafanyi wajinga kua wajanja.

Kwa hiyo nchi takatifu sasa ziko tatu, Izrael. Vatcan na Macca?
 
Kwa wale ambao wanahitaji kwenda kutembelea nchi takatifu ya Vatican kwa mwezi Agosti, ofa imetolewa ni 200 USD tu ikijumuisha Nauli, Malazi, Viza, Massage na usafiri wa ndani tukiwa hapo Vatican.
NB: Epuka matapeli, tupigie 0712 377702 (emmy)
Hivi Vatican ipi kwenye schengen? ???
 
Kwa wale ambao wanahitaji kwenda kutembelea nchi takatifu ya Vatican kwa mwezi Agosti, ofa imetolewa ni 200 USD tu ikijumuisha Nauli, Malazi, Viza, Massage na usafiri wa ndani tukiwa hapo Vatican.
NB: Epuka matapeli, tupigie 0712 377702 (emmy)
Kwanza huko Vatican kunanini?
Kabla sijaulisia hiyo 200$
 
Back
Top Bottom