Sam BnB
Member
- Apr 1, 2019
- 32
- 10
Kuna mshahara huko mpaka kuwe na kiingilio?? Au ukishajiunga unaajiriwa kabisa siamini kwa miaka hii kuna maono haya....
Tuna fundisha vitu vingi vya kuongeza kipato chakoIli nipate nini? funguka mtoto wa kike
Hiyo ndiyo toa hela upate hela siyo? subiri watakuja, kila la kheri.Tuna fundisha vitu vingi vya kuongeza kipato chako
In short namna ya kuingizia mkwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri ,ila unapo soma chip huwa unategemea Nini baadaye !!Kuna mshahara huko mpaka kuwe na kiingilio?? Au ukishajiunga unaajiriwa kabisa siamini kwa miaka hii kuna maono haya....
Baada ya Kaz ni mshaharaKuna mshahara huko mpaka kuwe na kiingilio?? Au ukishajiunga unaajiriwa kabisa siamini kwa miaka hii kuna maono haya....
kamfundishe kwanza mama ako!Tuna fundisha vitu vingi vya kuongeza kipato chako
In short namna ya kuingizia mkwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama vipi??Tuna fundisha vitu vingi vya kuongeza kipato chako
In short namna ya kuingizia mkwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote mtu mjinga kinvuli chake ni kifupi
fala wewe, hiv wewe kwa akil yako fupi kama mkia wa sungura unafikilia kuwa jukwaa kubwa kama la great thinkers kuna mapoyoyo utayageuza fursa???, jitajrishe mwenyewe bint!!Siku zote mtu mjinga kinvuli chake ni kifupi
Sasa na wewe kwa sabab umekata tamaa ya maisha unataka uwaharibie na wenzako
Nina mashaka na wewe huenda hata simu unayo tumia umeazima kwa sabab kichwa kisicho fikiri ni mzigo kwa miguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si nyie mngekuwa mmeingiza mkwanja mrefu, hadi mtake kiingilio ni kwavile nyie wenyewe hali ni tete.Tuna fundisha vitu vingi vya kuongeza kipato chako
In short namna ya kuingizia mkwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Fake Idea !!Si nyie mngekuwa mmeingiza mkwanja mrefu, hadi mtake kiingilio ni kwavile nyie wenyewe hali ni tete.
Mngekuwa na huo mkwanja mrefu mngegeuza wenzenu fursa?
Hii ndo hali halisi ya uchangiaji mada kwa jamii yetu ya kiafrica kwenye mitandao ya kijamii!!!