Ofa Ofa , Wana JF munao penda mafanikio hi ni ofa ya muda mfupi ya Kujiunga na group la WhatsApp Business lenye watu zaidi ya 5000 hadi Sasa

Siku zote mtu mjinga kinvuli chake ni kifupi

Sasa na wewe kwa sabab umekata tamaa ya maisha unataka uwaharibie na wenzako

Nina mashaka na wewe huenda hata simu unayo tumia umeazima kwa sabab kichwa kisicho fikiri ni mzigo kwa miguu



Sent using Jamii Forums mobile app
fala wewe, hiv wewe kwa akil yako fupi kama mkia wa sungura unafikilia kuwa jukwaa kubwa kama la great thinkers kuna mapoyoyo utayageuza fursa???, jitajrishe mwenyewe bint!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwenyewe hela huna sasa utamfundisha nani kupata pesa pumbavu wewe! Kawaibie mapoyoyo wenzio. Eti 15000 hivi unadhani pesa unazinya tuu kama mavi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom