Ofa kabambe ya mwaka mpya.Wahi sasa,

Kabakabana

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
5,550
Reaction score
1,166
Hellow wanajf,I hope wote mko poa kabisa baada ya sikukuu ya xmas.
Sasa kuna ofa kabambe ya mwaka mpya.Kwa yeyote anaetaka kampani yangu siku hiyo aniPM haraka iwezekanavyo ili aweze kupata namba yangu itakayomsaidia kurahisisha mawasiliano baina yake yeye na mimi.
Wahi mapema siku zimebaki chache.
Ahsanteni
 
Acha Ujinga ww

Hujasema Ofa ani ya nini/ bidhaa gani

Sema Ofa ni ya nini
 

tuta-DO?
Au ndo hapa stori tu, kula kwenu?
 
itabidi uchezeshe bahati nasibu baada ya kupokea pm kibao
 
Ngoja nikupm naweza nikabahatika! kuna haja ya kujieleza sana huko pm? au ni kuomba mawasiliano tu?
 
Kabakabana.. I'm always the winner... wait and see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…