Mi mwenyewe yusufu hapa. pia kuna kujana mmoja wa humu JF alisema nikiwa na shida ya kutafsiriwa ndoto niende kwake atanisaidia... lol
Mi najua kutafsiri ndoto pia. Zaidi ya ujuzi wangu, kuna huyo kijana alinambia nikienda atanifundisha mengine. Nitamwambia apite nyumbani mmuone.hapo umeandika vitu viwili vinapingana
halafu huyo kijana mi na Aunti wako hatumjui.........
Haya yote ni mapenzi ya Mungu na kazi ya sala zako rafiki. Nami nlikukosa sana. Hujalala mpendwa? Mwenzio nakunywa dozi hapa.
rafiki...hujambo! ODM karudi mazima....ila sijui ndo kaaamka kupata dozi?
Mi najua kutafsiri ndoto pia. Zaidi ya ujuzi wangu, kuna huyo kijana alinambia nikienda atanifundisha mengine. Nitamwambia apite nyumbani mmuone.
Uncle unajua the guy sort of smells nice, talks right, looks cute... you know? lolitabidi kwanza apitie kwa Babu kabla hajafika kwetu lol....sasa kama waweza kutafsiri ndoto mwenyewe, kwa nini umtafute 'mtu wa tatu" LOL
Hahah kamanda! Hatimaye nimeuanza mwaka... Dah! Naki nakuachia rasmi asee... BTW unajua mamake Salu naye ka-RIP? Huu mwaka noma mazee.
Acha tu mpwa. Regia amefanikiwa kuustua mtima wangu. Yule dada nyie mwacheni. Natamani nipate nguvu niamke hapa kitandani nikaweke shada la maua kwenye kaburi lake.... Hahah afu na maumivu haya najigangamala kuja kuwasabahi hapa jamvini lakini kuna binadamu asiye na huruma ananipiga dongo eti natafuta umaarufu kwa kuanzisha sredi. Damn haka kanokia na adiksheni ya JF bana. Anyway, Mungu amsamehe. Ntapona tu, inshallah!
Wee mzee nakuletea dozi ya mnyama kilo 7 na maji meupe
Uncle unajua the guy sort of smells nice, talks right, looks cute... you know? lol
na2mai na mm ni mjukuu hapa.
karibu tena babu, tunakuombea upone haraka urudi mazima.
Vaa miwan babu,iko hapo chini chini hapo hebu nyanyua hiyo laptop hapo kwa chin utaona pm yangu nimekutumia.Kama we ndo sijaona PM yako tangu klorokwini aende jandoni. Niko inbox huku.
Thats YOUR assessment Mwali....allow for a second opinion...okay?
Atapokeaje wakati hujawahi hata kumpelekea machungwa?..
NImekuelewa uncle. Kijana mwenyewe hajasema kitu zaidi ya hayo ya kutafsiri ndoto. NIlikua nasubiri anambie vingine ndio nimlete. hahahaha
Naomba ufute hapo Uncle, Mungu apishe mbali... lolBora ameishia hapo hapo...